Mmmh!.... harikaaa!
utasikia mtoto wa singo parent si mke mwema wala binti aliyekimbilia kuzaa kabla ajaolewa si mke mwema!
Utasikia anapatikana ktk nyumba za ibada!
Bado kidogo watasema ni wale walioko sokoni wanakimbizana na mgambo nk!
Kingine eti wale walioko kwenye maghorofa yanayojengwa wakibeba zege
Oooh tena watasema anayejitambu sasa sijui tahira anajitambua ni tahiraaa!
ITAENDELEA, STAY TUNNED........