REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,295
- 11,586
mama yako ndo mke mwema? seriously?
hivi nani ambae mama yake sio mke mwema?
mbona kama unamtukana mama yako? au hujui majukumu ya mke yalivyo?
unaujua undani wa mama yako?
mama yako ndo mke mwema? seriously?
hivi nani ambae mama yake sio mke mwema?
mbona kama unamtukana mama yako? au hujui majukumu ya mke yalivyo?
unaujua undani wa mama yako?