True story :Never entertain a Jin

True story :Never entertain a Jin

tilmikha

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
496
Reaction score
605
Ilikua siku mwanana wanafunzi walikua ukingoni kumaliza somo lao la siku hio ndio mwalimu akawagusia wanafunzi wake namna ya kumuona jini akiwa katika umbile la binaadam, inafahamika kwamba majini wanauwezo wa kujifanananisha katika umbile tofauti na maumbile yao. Hata hivo sio rahis sana kuweza kuwagundua ndio siku hio basi mwalimu alitaka kuwapa wanafunzi wake somo la tiba ujuzi huo japo kuwa aliwaasa sana kuwa ni hatari mno endapo watakuja kujulikana na jini husika ambae mmoja wao angeweza kumuona. Naam wanafunzi walikua na kiu mno kujua ni vipi wangeza kumuona jini. Mwalimu aliwaambia waende maduka ya madawa ya kiswahili na watakapofika huko wakimuona muuzaji amemuacha Mteja ambae anamuhudumia na kumshughulikia yule ambae anaingia basi wajue huyo ndio jini. Wanafunzi walisitiza kuwa hawataenda kwenda kufanya huo msako wa jini. Ila mwanafunzi ndio mwanafunzi, mmoja wao alienda kwenye duka husika huku akiwa na gazeti mkononi ili aweze kujificha na kutokujulikana. Alikaa mlangoni pembeni ya duka, huku akimchunguza Mteja mmoja mmoja anaeingia katika duka hilo, wakati muuzaji akiwa busy na Mteja hafla alionekana kumuucha na kumuhudumia mteja mpya aliengia dukani hapo haliyakuwa yule alienae hajammaliza. Mwanafunzi nae alikua akichungulia kwa jicho la pembeni mana alikua akikiona kile ambacho mwalimu alimsimulia. Wakati anatoka dukani hapo(mteja jini) mwanafunzi nae alisimama ili aweze kumsindikiza kwa macho yule mteja aliepewa kipaombele na hafla akajikuta anapigwa mtama wa mbele na kuanguka kifudifudi. Never entertain a Jin.
 
Mkuu.
Unadai ni true story hujasema ilitokea wapi.
 
Back
Top Bottom