TRUE STORY...msinirushie mawe

TRUE STORY...msinirushie mawe

Hivi wewe una akili za kitamthilia au ziko timamu?

Kwanza haueleweki, unasema unampenda mkeo kuliko wanawake wengine wote... Sasa ilikuwaje ukaenda kupima ngoma na mwanamke ambaye si wako na kuishi nae kwa zaidi ya miezi sita? Ina maana ulipokuwa ukipeleka taarifa kwa bosi wako ukiwa naye ulimtambulisha kama nani?... Ulimwachisha kazi na baadae akapata kazi tena mkoa tofauti (Hapo chacha!)...

Halafu mkeo amekupa ushuhuda ukaukataa halafu unauliza utamuanzia wapi kumweleza kuwa una mtoto wa nje... huo ni upuuzi.

Natamani kama ningekuwa namjua mkeo ni m-tag ili aweze kuona utumbo wako huku JF.
 
kwanzq nakupa hongera kwa kiranga ulichokitafuta.....

pili nakupa hongera kwa kujitahidi kuharibu ndoa yako......

tatu nakupa hongera kwa kujiandaa kumuumiza mke wako.......

nne nakupa hongera kwa kutarajia mtoto

tano nakupa hongera maana kuna dalili mtoto akakosa mapenzi ya baba...

sita nakupa hongera kwa kung'ang'aniwa na binti, usidhani binti king'ang'anizi ndo ataishia hapo....jiandae kwa makubwa zaidi siku za usoni

ila nikutoe hofu, unajua nyie wanaume mnajua sana kutafuta viranga.....hivyo nikupe tena hongera mkuu, ni viranga vya kawaida sana kwa wanaume wenzio kuvisaka.. tumia ubabe huo huo kumlazimisha mkeo akubali usaliti wako, ila jua tu ndoa yako haitokuwa the same, umeitia doa lisilofutika.............

hongera sana....
 
muelezee 2 wife, alalamike muitishe kikao cha familia, mchague mtu unaemuamini kwenye family diplomacy awakalishe na ndugu zako chini, mtambulishe mtoto. .
 
Nahisi ni Stori ya KUTUNGA...na wasiwasi wangu upo kwa huyo binti wa Kinyarwanda kama unasema Mamaake alikimbia 'genocide' of which it was 1994...na akaja kuolewa na MCHAGA huko Mwanza...Basi kama hivo ndivyo huenda huyo binti lazima atakuwa chini ya 18..kwa hiyo unambaka mtoto...ryte??

Anyways vyovyote iwavyo LAZIMA tukuambie kuwa wewe sio MWAMINIFU na hakuna SHORTCUT kulipia UBAZAZI wako..To cut it short..Lazima umface mkeo na uconfess kwa sababu hata ukiacha kusema kwa sasa..lazima baadaye huyo unayesema ni mwanao mtarajiwa atakuja KUJULIKANA..Kwa hiyo hakuna utakachokuwa umekiokoa..Go figure!!!
 
Kazi unayo...!
Huyo mdada kama vile nimemjua...baba wa Marangu na mama mtutsi,alafu baba ana bar kadhaa pale Mwanza.
Mkuu hapo dots zangu ni kama zimeshajiunga tayari!!!
 
NILIONDOKA HOME, nikaenda kufanya kazi mkoa fulani hapa tz, nimekaa huko kwa muda mrefu. waifu anafanya kazi hapa dsm. ....nimeoa nina watoto. tatizo lilinitokea, nikiwa huko nilikutana na mwanamke mmoja, ni mrefu, mwembamba kidogo ila hips kubwa, ni mzuri ajabu, mamake ni mtutsi babake mchaga wa marangu, mara ya kwanza ilikuwa kama utani, tukaanza urafiki, tukaenda kupima, tukawa negative, tukaanza kutumia ndomu, nilikuwa nakaa lodge hivyo wiki mbili za mwanzo alikuwa anahudhuria kwenye lodge kila siku.

alihamia kabisa, na akaacha kazi, tukawa tunaishi wote kwenye lodge. sikujua ni kitu gani aliona kwangu, sijui nilimfanya vizuri sana ila toka siku ya kwanz anilimwambia mimi nimeoa mke wangu yuko dsm na ni mkali sana na ana wivu, tukawa tunafanya tu.

kati ya miezi karibia sita au saba, tulikaa lodge tofautitofauti, ila tulikuwa tunakaa pamoja. kazi yangu ilikuwa ni ya kufanyia tu ndani ya lodge na kama kwenda ofisini ni kwenda naye pamoja na kuweka doc kwa bos na tunarudi wote, yeye hakutaka kuniacha hata mara moja akiogopa nitamtoroka, ati nitabadilisha lodge na kumkimbia. alinipenda akawa analia usiku machozi ati anatamani kama angekutana na mke wangu akubaliane naye amruhusu awe mke wa pili, atamheshimu sana mke wangu, akawa anajilaumu kwamba ni kwanini mimi niliwahi kuoa kabla sijakutana na yeye?

tukiwa sita kwa sita mara nyingi namuona anatoa mikelele kuwa kwanini nimewahi kabla sijakutana naye, manake angekuwa mke wangu. aling'angá nia kuniita mume na mimi nikawa nakata jina hilo. nilikuwa nashangaa, kwanini mwanamke mzuri hivi analia machozi na yuko serious, hatanii, kwamba anatamani angekuwa mke wangu hata wa pili haingekuwa shida kwake?....mimi ni mwanaume sina sura nzuri najijua, ni nunda mweusi....yeye ana weupe wa kichaga na umbo na sura ya kinyarwanda (mamake alikimbia ile genocide)....babake ni tajiri tu ana bar kibao mwanza pale.

SIKU MOJA TUKIWA TUMEKAA, akaniambia anatamani kama angebeba damu yangu, kwasababu anajua mimi sitamuoa kwani nampenda sana mke wangu kuliko yeye. nilimtisha kuwa mke wangu atakutoa roho ukijifanya kuning'ang'ania...mzuriiii,....nilikuwa makini kuhesabu tarehe siku za mimba na bleed yake,....nimejikuta nimetwika mimba tayari,...ana mimba ya miezi minne sasaivi,...ninahudumia mimba na yeye nampenda ile sitamuoa na nilishamwambia mkataba wetu ni mtoto tu, si yeye...amefurahi sana kubeba damu yangu tumboni mwake...sasaivi amehamia arusha anafanya kazi kule......napigiana naye simu kila siku kabla ya kufika home, ana akili sana, ni mwaminifu sana kati ya mademu niliowaikuwa nao.

najua niliteleza, nilimtenda waifu kosa kubwa...juzi waifu anasali kwa mwingira, aliniamsha saa kumi za usiku akasema ameonyeshwa na Mungu kwenye ndoto kuwa mimi nina mke mwingine, akaniambia yote niliyoyafanya...niliogopa, lakini wkasababu mimi ni mbabe kidogo nilimfokea kwanini ananivurugia usingizi na kwanini ananiambia hivyo, nikapotezea...lakini niliumia moyoni kwanini nilifanya vile...kumtelekeza mwanamke yule na mimba naona sio fresh, pamoja na kwamba anaweza kulea yeye mwenyewe, .......nitaanzaje kumwambia waifu kuwa nina mtoto nje?...waifu ananipenda sana na mimi nampenda kuliko wanawake wote duniani najua tutasameheana lakini pa kuanzia sijui....yule wa arusha na mimba yangu, nashukuru Mungu hatakinukisha.....
usijikoshe eti unampenda mkeo wakati unamsaliti mwaka mzima.hilo lako hangaika nalo.natamani mngen'gang'aniana.
 
Dah! Pole sana things like that happens kuka mbali na mkeo kwa muda bila kupata ile kitu ina athiri cha msingi uckurupuke kwa kuwa una watoto waweza vunja ndoa na wakakosa malezi bora. Just think twice soma attitude za mkeo na reaction gani anaweza kuchukua katika ishu kama hii ita mpain for the rest of her life. The damage has already done.
 
truth will set you free......unless otherwise(u know what i mean)
 
Nahisi ni Stori ya KUTUNGA...na wasiwasi wangu upo kwa huyo binti wa Kinyarwanda kama unasema Mamaake alikimbia 'genocide' of which it was 1994...na akaja kuolewa na MCHAGA huko Mwanza...Basi kama hivo ndivyo huenda huyo binti lazima atakuwa chini ya 18..kwa hiyo unambaka mtoto...ryte?

huyu mleta mada atakuwa very poor kwenye historia na zaidi atakuwa hajui kutunga hadithi, inabidi amuone shigongo ampe tafu
 
NILIONDOKA HOME, nikaenda kufanya kazi mkoa fulani hapa tz, nimekaa huko kwa muda mrefu. waifu anafanya kazi hapa dsm. ....nimeoa nina watoto. tatizo lilinitokea, nikiwa huko nilikutana na mwanamke mmoja, ni mrefu, mwembamba kidogo ila hips kubwa, ni mzuri ajabu, mamake ni mtutsi babake mchaga wa marangu, mara ya kwanza ilikuwa kama utani, tukaanza urafiki, tukaenda kupima, tukawa negative, tukaanza kutumia ndomu, nilikuwa nakaa lodge hivyo wiki mbili za mwanzo alikuwa anahudhuria kwenye lodge kila siku.

alihamia kabisa, na akaacha kazi, tukawa tunaishi wote kwenye lodge. sikujua ni kitu gani aliona kwangu, sijui nilimfanya vizuri sana ila toka siku ya kwanz anilimwambia mimi nimeoa mke wangu yuko dsm na ni mkali sana na ana wivu, tukawa tunafanya tu.

kati ya miezi karibia sita au saba, tulikaa lodge tofautitofauti, ila tulikuwa tunakaa pamoja. kazi yangu ilikuwa ni ya kufanyia tu ndani ya lodge na kama kwenda ofisini ni kwenda naye pamoja na kuweka doc kwa bos na tunarudi wote, yeye hakutaka kuniacha hata mara moja akiogopa nitamtoroka, ati nitabadilisha lodge na kumkimbia. alinipenda akawa analia usiku machozi ati anatamani kama angekutana na mke wangu akubaliane naye amruhusu awe mke wa pili, atamheshimu sana mke wangu, akawa anajilaumu kwamba ni kwanini mimi niliwahi kuoa kabla sijakutana na yeye?

tukiwa sita kwa sita mara nyingi namuona anatoa mikelele kuwa kwanini nimewahi kabla sijakutana naye, manake angekuwa mke wangu. aling'angá nia kuniita mume na mimi nikawa nakata jina hilo. nilikuwa nashangaa, kwanini mwanamke mzuri hivi analia machozi na yuko serious, hatanii, kwamba anatamani angekuwa mke wangu hata wa pili haingekuwa shida kwake?....mimi ni mwanaume sina sura nzuri najijua, ni nunda mweusi....yeye ana weupe wa kichaga na umbo na sura ya kinyarwanda (mamake alikimbia ile genocide)....babake ni tajiri tu ana bar kibao mwanza pale.

SIKU MOJA TUKIWA TUMEKAA, akaniambia anatamani kama angebeba damu yangu, kwasababu anajua mimi sitamuoa kwani nampenda sana mke wangu kuliko yeye. nilimtisha kuwa mke wangu atakutoa roho ukijifanya kuning'ang'ania...mzuriiii,....nilikuwa makini kuhesabu tarehe siku za mimba na bleed yake,....nimejikuta nimetwika mimba tayari,...ana mimba ya miezi minne sasaivi,...ninahudumia mimba na yeye nampenda ile sitamuoa na nilishamwambia mkataba wetu ni mtoto tu, si yeye...amefurahi sana kubeba damu yangu tumboni mwake...sasaivi amehamia arusha anafanya kazi kule......napigiana naye simu kila siku kabla ya kufika home, ana akili sana, ni mwaminifu sana kati ya mademu niliowaikuwa nao.

najua niliteleza, nilimtenda waifu kosa kubwa...juzi waifu anasali kwa mwingira, aliniamsha saa kumi za usiku akasema ameonyeshwa na Mungu kwenye ndoto kuwa mimi nina mke mwingine, akaniambia yote niliyoyafanya...niliogopa, lakini wkasababu mimi ni mbabe kidogo nilimfokea kwanini ananivurugia usingizi na kwanini ananiambia hivyo, nikapotezea...lakini niliumia moyoni kwanini nilifanya vile...kumtelekeza mwanamke yule na mimba naona sio fresh, pamoja na kwamba anaweza kulea yeye mwenyewe, .......nitaanzaje kumwambia waifu kuwa nina mtoto nje?...waifu ananipenda sana na mimi nampenda kuliko wanawake wote duniani najua tutasameheana lakini pa kuanzia sijui....yule wa arusha na mimba yangu, nashukuru Mungu hatakinukisha.....

Unampenda mkeo kuliko wanawake wote, halafu unafanya uzinzi na mwanamke mwingine? Acha kutudanganya bwana. Ungekuwa unampenda mkeo usingetoka nje ya ndoa, pia kama ungekuwa unampenda mkeo kweli alipokuambia juu ya ndoto yake ungekuwa tayari kueleza ukweli kwasababu alikuwa tayari kakurahisishia pa kuanzia. Ni vizuri ukamwambia ukweli mapema. Acha tamaa ya fisi huku unataka na huku unataka yatakushinda
 
eti ni NI NUNDA MWEUSI , YEYE ANA WEUPE WA KICHAGA........shame on you dude, unaonaea aibu weusi wako....mtafute
le presidaa nyoshi el saadat akupe mikorogo😱hwell:
 
usijikoshe eti unampenda mkeo wakati unamsaliti mwaka mzima.hilo lako hangaika nalo.natamani mngen'gang'aniana.

chikamoo mamajack mimi penda koment yako wangenga'ang'aniana loo
 
Ubungoubungo sijui kwa nini sikuamini najitahidi nikumbuke tuligongana wapi kwenye rhread humu niunganishe dots ila sikumbuki embu nikumbushe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom