True story:Msaada wa mawazo kwa huyu dada jaman yuko njia panda,

Haya tumeutambua uwepo wako ahsante ila cku nyingine usituletee uzi usio na kichwa wala miguu kama huu lol.
 

Attachments

  • 1409927063578.jpg
    1409927063578.jpg
    26.4 KB · Views: 226
TUENDELEEE...! SAFAR YA MWAINE...!
Akiwa mikononi bibi alikua vzur had alipofika darasa la tano ndipo Mamake akaona amuunganishe na wadogo zake! kipind chote hicho MWAINE alijua huyu babake mlezi ndiye babake mzazi(walimficha),

treatment tofaut na wadogo zake kutoka kwa baba mlez ndivo vilimfanya MWAINE kuhic kitu japo alijua labda ni ndoto huku akiogopa kumuulize mama yake akiamin atamkosea, siku zilisonga hali ikawa siyo ya kujificha tena kwan hata wadada wa huyo baba mlez(mashangaz) wakawa wanamtamkia MWAINE mwambie mamako akupelee kwa babako, udogo wake ukawa unamfanya asijue la kufanya japo anaumia, mateso yakawa ya wazi had MWADAWA kujua na kukosana hata na mmewe lakn atampeleka wapi mtoto ni wake! alivumilia hizo hali zote,

MWAINE akiwa kidato cha pili, pamoja na mdogo wake wanaye fuatana kuzaliwa ndipo historia nyingine ikajitengeneza.

MWADAWA alifiwa na babake mzazi hivo ilimpasa kucha familia yake na walisafir na mmewe, hivo familia akawa chini ya mashangaz. kipind cha mwezi mmoja ambao MWADAWA hayupo ilikuwa jehanam kwa MWAINE kwan hata babake mlez aliporud yote aliyoripotiwa ni kama hajua la kufanya! ilifika mahal banda la mbwa liligeuka ndo mahal pa kulala pa MWAINE wakat huo akiwa hana uhakika wa kula..! akipewa sawa asipopewa sawa!

siku iliyobadilisha na kupoteza ndoto za kuishi ni siku ambayo babake mlezi alimuadhibu kwa kutumia waya wa umeme, baada ya mdogo wake MWAINE (wanaesoma kidato kimoja ila mikondo tofaut) kumsemelea kuwa ati MWAINE anakuchezaga na wavuluna shulen..! anasema aliadhibiwa adhabu ambayo hajawah bila kupewa sekunde ya kusilizwa lolote ( hapo ndipo akaanza kuamin huyu sio babake, japo hajathibishiwa) alipopata upenyo, hakupungiki break yake ilikuwa wapi, ila anakumbuka, saut ya mwisho kuisikia ilisema "ANAANGUKA HUYO MDAKENI" kumbe kipigo kile kiliambatana na njaa ya cku mbili...!

NAKUJA JAMAN...!
 
jaman namaanisha msaada kwa huyu dada...! nimeanza mwanzo wa kuzaliwa kwake ili mtu upate picha ya nini kinamsumbua..! unaweza ukapata mawazo ya kumshaur..! SITANII huyu mtu yupo na anaish ila kaathirika kisaikolojia
 
jaman namaanisha msaada kwa huyu dada...! nimeanza mwanzo wa kuzaliwa kwake ili mtu upate picha ya nini kinamsumbua..! unaweza ukapata mawazo ya kumshaur..! SITANII huyu mtu yupo na anaish ila kaathirika kisaikolojia
Sasa hivi vipande vipande vinapoteza ladha mkuu
 
Back
Top Bottom