True story: Kosa ni la nani?

True story: Kosa ni la nani?

Baada ya mlo na pilika za hapa na pale mama Millard alimuita mwanae ili waongee mawili matatu kuhusu maisha. Wakiwa wamekaa kibarazani wakipunga upepo kila mtu akiwa kimya mama Millard Ndio alikuwa wa kwanza kuvunja ukimya kwa kumueleza mwanae kwamba anafurahi sana kwa kuwa amekuwa msaada mkubwa sana tokea kifo cha mumewe na kwamba mwanae amekuwa mtiifu kwa namna ya pekee Na hivyo anamuombea baraka tele katika maisha yake. Millard alimshukuru mama yake kwa baraka na kamwambia kwamba asijali Kwani ni majukumu yake ya kila siku kuhakikisha mama yake anaishi vizuri.

Mama yake akaendelea na mazungumzo na Safari hii aliongelea kuhusu Elsie. Kama kawaida yake aliendelea kumsifiA Elsie kwamba ni mwanamke anayejishusha na anakubalika kwa wadogo na wakubwa. Na anafaa kuwa mke mwema na hivyo yeye Kama mama angependa sana mwanae amuse Elsie kwa kuwa a namjua vizuri tabia zake.
 
Nataka mwisho wake
SEHEMU YA TATU
Millard aliandaa kuni na kumpatia mama yake ambaye aliandaa supu ya bamia (maarufu Kama okra soup) pamoja na ugali kwa ustadi mkubwa. Baada ya mlo kuwa tayari basi akatenga meza na kumuita mwanae Huyu mpendwa ili waweze kujumuika pamoja. Mama Millard alikuwa ni mapishii mzuri wa vyakula vya asili na kamwe mlaji wa mlo wake asingeacha kusifia chakula chake baada ya kujiweka mdomoni. Hali haikuwa tofauti kwa Millard ambaye baada tu ya kupata ombi la chakula alimuangalia mama yake na kumpa sifa kem kem kwa kupika chakula Kitamu na chenye ladha.
Basi walikula wote kwa furaha na baada ya kumaliza kula Millard alimwambia mama yake apumzike Kwani yeye Ndio angetoa vyombo mezani na kuweka mazingira ya mesini kuwa sawa.
 
Wapendwa habari zenyu
Hii story ni ya maisha halisi ya watu hivyo itaendelea tena.
Nilikua ninalea kichanga na kimekuwa sasa
Kiko grade 3 Mungu ni mwema.
 
Back
Top Bottom