mi naamini ni kweli labda mleta uzi kashindwa kujieleza,mama mkwe ni balaaHii imekaa kitungo tungo zaidi. Ila huyo jamaa na mama yake wote hamnazo.
mama mkwe na mawifi ni balaa,hapa naona kijana kashindwa kuongoza nyumba yakeUkizoeana saaaana na Mama yako,kuna siku atakupandia kichwani....kwangu mimi nina mipaka,sio Mama tu,ndugu zangu woote..STRICTLY,HAWARUHUSIWI KUJADILI MAISHA YANGU YA MAHUSIANO NA MIMI...wapige umbea wao wenyewe,ruksa, kujadili na mimi MARUFUKU.....!!!! Kwanza ushkaji wa hivyo na mama wala sina.....ni umbumbu na uzuzu tu ndo unaomsumbua huyo Mwanaume.HAKIKA NDOA NI TAKATIFU,UKIIVURUGA,LAZIMA MUNGU AKUADHIBU!!
mama mkwe na mawifi ni balaa,hapa naona kijana kashindwa kuongoza nyumba yake