True luv is here*for girls only

Al_morinaga

Member
Mar 17, 2012
38
2
...0762052850
email...sashkisula@gmail.com
 

Attachments

  • 1335739200316.jpg
    1335739200316.jpg
    17.9 KB · Views: 90
  • 1335543156910.jpg
    1335543156910.jpg
    23.2 KB · Views: 92
sura yangu as u c on my avatar n attachment....av got kile moyo wako unahitaj(tru luv)isipokua pesa...if interestd plz c me at my FB name*(Kisula Reallove)
my no.....0762052850
email...sashkisula@gmail.com

Trust me hupati ng'o, bila hiyo red hutaweza kuhendisamisha mkuu,.. Unaleta hadithi za true love in a real world.
 
Mhhh hebu mpitiage na hyo timeline yake huko facebook.....mhhh kiazi si kiazi, na mhogo si mhogo jaman
 
duu mdogo wangu nakushauri futa u uzi
yaani unaonekana zaidi ya mpumbavu kujitangaza ivi km nguruwe alokosa pumba


ebui futa haraka then jiheshimu
soma nw
ukikua utapata mademu unaowataka stop ths shit pls :nono:
 
Did I read it wrong au...mwanaume wajiita kisula/kisura? Anyway, nicheki na mimi kwenye Avatar yangu naona tunaendana ile mbaya!
 
mtupu uliambiwa hapa ndo pa kuuzia sura au kutafutia umaarufu eeh?:mad:
 
Ulisema umepata msichana mzuri aliyekuzidi kila kitu unatarajia kukuoa, iweje tena unaleta habari nyingine? Are you serious?
 
halafu nenda kule fb kabadilishe hapa.......studied at Diproma at Royal prince School.....
 
sura yangu as u c on my avatar n attachment....av got kile moyo wako unahitaj(tru luv)isipokua pesa...if interestd plz c me at my FB name*(Kisula Reallove)
my no.....0762052850
email...sashkisula@gmail.com
Duh!... naona dogo unatafuta jimama likulee sio,huyo aliyekudanganya wanapatikana pande hizi kakuingiza chaka Kimbiaaaaaaaa!
 
Huu ***** dogo kadanganywa na nani jamani? Anataka kuokota embe Dodo kwenye mti wa muarobaini.
 
Kwa hayo matusi yako huko FB utampata nani huku? Rudi FB kwenye grp la CCM kaweke hili tangazo lako
 
hahahaha!!! Siamini ninachokiona,,,,Kwa haraka haraka nakuona kama kilaza flani hivi,Badilika mdogo wangu
 
halafu nenda kule fb kabadilishe hapa.......studied at Diproma at Royal prince School.....
Asilimia 99% ya status zake FB amekwiba humu JF,,,Eti political views= I hate peoples power Una wazimu wewe,Au ni mdau wa Magamba unajifanya tu hapa tuku-Request facebook utujue sisi ni akina nani!!!?? Pumbafu kabisa
 
naona ma-great thinkers mmeamua kwenda kumfanyia 'due diligence' huko huko f/book....
 
waweza zungumza unavotaka hata povu masaburini rikutoke
sion kinachopungua kwangu
nimepost kutafuta galfriend n niko rumu sahihi so nashangaa ppvu linakutokaje
n naendelea kupata feedbacl za kutosha.nafanya editing tu
Kama thread imakuumiza na kukukera roho.leav it na hutopungukiwa kitu
 
Teh mengine mnayatafutaga wenyewe...
Ushauri:>better usingekuwa open ivo mwanzon,ad ukubaliane na mtu ndo ayo ya fb yafate!
Humu watu wanamask af inthe dark,atakaekufinya hutomjua,n wengne uko fb ndo marafiki..ol th best dogo.ukipata tutambulishe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom