mwanaume mwenye mapenz ya dhati anahtajika for long term relationship ila asiwe mwalimu au mwanafunzi this iz serious so kwa maelezo ani Pm tuzingumze wa mkoa wa mbeya iringa na moro watapewa kipaumbele karibuni
Huwa nashangaa sana kwa hawa wanawake walivyo na kiu ya kuolewa lakini hawajitambui, unakuta mtu anasema wa mkoa flani atapewa kipau mbele, mara sitaki mwenye kitambi na mambo kibao. Lakini ukimuangalia mwanamke mwenyewe ana sura ngumu hadi ukitaka kwenda naye mahali inabidi umwambie atangulie.

duh! naamua kuachana na kazi hii ya ualimu,maana naona kupitwa na mambo mazuri,kila anayejitokeza kutafuta mme hamtaki mwalimu.Heri nusu shari...maana naona naweza ishia kuwamimba wanafunzi tu.
Huwa nashangaa sana kwa hawa wanawake walivyo na kiu ya kuolewa lakini hawajitambui, unakuta mtu anasema wa mkoa flani atapewa kipau mbele, mara sitaki mwenye kitambi na mambo kibao. Lakini ukimuangalia mwanamke mwenyewe ana sura ngumu hadi ukitaka kwenda naye mahali inabidi umwambie atangulie.
Hajielewi huyo mapenzi ya dhati hayaangalii cheo cha mtu la sivyo ataumia tu au atatumiwa km tp na kutupwa kwa dustbin. My take be careful lady Gaga when ur finding a man of your life put God first then everything gonna b fine.
sasha, you sound so sweet! I wonder why bado huonekani kwenye 'radar' ya waoaji wa kweli. Au na wewe you are too picky?
Hahaaa... thanks still counting my endless blessings while waiting for the right man according to God's plan.
In red, well stated. Ideal spouse comes from God. So keep staying in hope-mode, and kindly count my sincere prayers in that regard. BTW... who is that in your avatar ?