Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,453
- 10,059
Kila jambo na wakati wake...wakati ukifika utampata yule ambaye ni chaguo la moyo wako na atakufanya uitazame dunia kama paradise......Yeshanipita yote ya utotoni...labda nipate wa kufaana nae,wa kuzeeka nae na wakuzikana nae!
Kila jambo na wakati wake...wakati ukifika utampata yule ambaye ni chaguo la moyo wako na atakufanya uitazame dunia kama paradise......