Kuna hii simu application inaitwa 'true caller'. Sijui inafanyaje kazi ila mtu akiwa nayo ukimpigia simu hata kama haja save na hana namba yako litatokea jina ambalo mtu mwingine mwenye hii app alilisave.
Kwa mfano mchepuko wako umekusave 'buzi langu' usishangae ukanipigia mimi nikakuuliza 'buzi' unasemaje?! kuna watu kadhaa nimewapigia kumbe kuna majina ya ajabu ajbu nimeseviwa na watu huko yanatokea! Kwa kifupi siipendi hii app maanke sasa hivi hata ukidanganya jina hii app inaweza kukuumbua!
Wazee wa michepuko kuweni makini!
Simply TRUECALLER inaPick jina lililosajiliwa na mwenye jina mwenyewe au lililotambulishwa na mtu mwingine mwenye TRUECALLER. Kwa mfano mimi sina account ya true caller, na nikakupigia wewe uliye na Account na unayetumia TRUECALLER, basi TRUECALLER itakuuliza HELP US about this Number, wewe utakapo sema hii number ni ya XXXXX basi huyo XXXXX hata akimpigia mtu mwingine mwenye true caller itaonesha XXXXX.
TRUECALLER haina uhusiano na Usajili wa line ya simu.
wala haina uwezo kutambua namba ya mtu ambayo haipo kwenye account yao.
TRUECALLER inatumia DATA (Internet).
Na kila namba mpya isiyo na account ya truecaller inapoingia kwako mwenye truecaller, basi baada ya kukata simu, truecaller itakuuliza kuisaidia kumtambua huyo mtu, na hapo ndipo inapokuwa na record ya hiyo namba, bila kujali kama ni taarifa sahihi au lah!
Ni kweli true caller inatumia internet data,kama mtu ana account ya facebook,twitter na nyinginezo hizo ndio information zinazoonekana
Haya mambo ya kuweka info zako kila mahali ndio shida yake! Mi nilikuwa nashangaa mtu huna utani nae anakuita jina la kijiweni kumbe kalipata kwenye True Caller!
km nilivyosajili laini
Huwa true caller haifetch data kutoka kwenye database za mobile companies.
Huwa zinafetch data kutoka internet mfano kama uliweka hizo namba favebook, twitter na insta basi itatoa huko huko.
Ni sawa na unakuta unasave namba ya mtu ila picha yake yajileta yenyewe
kuna cku iliniumbu balaaa nilidanganya no co yangu ili kuondoa usumbuf heee anapiga tena ili aombe kuongea na mimi jina hilooooo akaishia kucheka. ila hiyo app nilikua cna na ckuwah kuitumia kwa wakati huo na ni vigum mtu kusave majina yangu yote mawili km nilivyosave.
Mkuu ymollel,nime-install app ya truecaller ktk Nokia Lumia 625 but haifanyi kazi kama ilivyokuwa ktk HTC,yaani ikipigwa simu kwa No ambayo sijaisave haitokei jina(najua sio kila No itatokea) ila nikitumiwa sms/w'app msg naliona jina la muhusika,pia nikifungua file la truecaller siipati history yoyote..mkuu nielekeze nimekosea wapi?
Mkuu ymollel,nime-install app ya truecaller ktk Nokia Lumia 625 but haifanyi kazi kama ilivyokuwa ktk HTC,yaani ikipigwa simu kwa No ambayo sijaisave haitokei jina(najua sio kila No itatokea) ila nikitumiwa sms/w'app msg naliona jina la muhusika,pia nikifungua file la truecaller siipati history yoyote..mkuu nielekeze nimekosea wapi?