brazakaka
Senior Member
- Mar 3, 2010
- 116
- 14
Usikurupuke kupost kitu kaka soma kwanza thread au google usome kwanza ishu nzima. Naona unapelekwa pelekwa tuHukumu ya haki alieuwa nae hauwawe!
Usikurupuke kupost kitu kaka soma kwanza thread au google usome kwanza ishu nzima. Naona unapelekwa pelekwa tuHukumu ya haki alieuwa nae hauwawe!
Usikurupuke kupost kitu kaka soma kwanza thread au google usome kwanza ishu nzima. Naona unapelekwa pelekwa tu
Hauwawe ndio nini?Clearly si tu haujui uandikacho balì hata usemacho...please kindly soma habari ya hii kesi vizuri thou nahisi hata haujaisoma kabisa.
Nadhani wewe ndio ujui hii kesi hata nikikuliza imeanza lini uwezi kujua, Mahakama imeona Troy Davis, na hatia ya kumpiga risasi Mark MaPhail.
Kwenye hii kesi watu maarufu duniani kama, Papa Benedict wa 16, Askofu Desmond Tutu, Jimmy Carter, na karibuni watu milioni moja walisaini hati ya kutaka kuzuiwa kwa hukumu hii.
Sijui kama unalajua ili au kwa sababu Troy Davis mtu mweusi? Fuatilia vizuri hii kesi, mimi miaka sasa naifutailia hii kesi niulize chochote kuhusu hii takujibu
we ndo ulikua jaji au mwendesha mashtaka?
Nimesoma inaonekana jamaa alimuua yule askari.acha na yeye kauwawa.alichopanda ndo kakivuna.Maisha yanaendeleausilolijua ni kama usiku wa giza. Tena inaonekana umeropoka tu. Hii kauli yako mbaya. Kafuatilie case yake maana inaonekana hujui. Jamaa amesingiziwa, haki za weusi america hazifuatwi.
tatizo la kuingia jf huku umekunywa viroba vya bong bond whisky. Ujui chochote unaropoka tu!