TroubleShoot your TunnelGuru

This is the best thing to do rgt, these r sensitive times
 
Wakuu vp mbona mmeniacha njiani? Au nami nimekuwa galasa?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
chek pm mkuu devu achana nao hawa tuanzishe kigroup chetu na sie,, hahahhaha
 
Chonde chonde jamani, taratibu msije kuleta ajari nyingine! Nasoma online, kwa siku natumia zaidi ya 2GB, hebu jiulize huu mshahara kima cha chini cha Samwel Luhanga nitamudu vipi bila TG,
 
Chonde chonde jamani, taratibu msije kuleta ajari nyingine! Nasoma online, kwa siku natumia zaidi ya 2GB, hebu jiulize huu mshahara kima cha chini cha Samwel Luhanga nitamudu vipi bila TG,

Kuna watu wana kisebengo wameshamtaarifu admin wa TG wakati hali yenyewe tete hivi...admin mwenyewe mm nimemchimba beat kuwa nina settings za TIGO ntampa iwapo ataweka feature ya kupause acc kama pd akasema week hii inayoanza...ngoja namsikilizia tu...lkn yule anataka voucher zake zinunuliwe ndo maana unaona anapost fb and more worse anataja basi...mm nimekuwa nikimtumia loopholes ila nimeacha mpaka atimize hiyo new feature
 
Nna mpango wakutangaza net ya bure ipo ila sitoi solution mpaka nimalize kudownload lecture notes zangu.na cjui ntamaliza lni
 
Nna mpango wakutangaza net ya bure ipo ila sitoi solution mpaka nimalize kudownload lecture notes zangu.na cjui ntamaliza lni

mkuu kamua pekee yako
maana hapa ukisema uwajali wenzako ujue imekula kwako na ujue bundle za 12,000/- kwa week zinakuhusu
 
mkuu kamua pekee yako
maana hapa ukisema uwajali wenzako ujue imekula kwako na ujue bundle za 12,000/- kwa week zinakuhusu

Ni kweli....nw nipo bizy na paper wkend 2naanza kutest kma bado inapiga mzigo,backup net...halaa
 
mkiona davo pagumu badilishen basi,, me nakamua kam kawa kwa wana kabang.. asije mtu pm hiyo ni hint tu find out kam ww unajita hacker,, mm natumia, nko busy ningeweka screen shot.
 
Action speaks louder than words. . .

hahaha najua wengi wenu mmekwama kenye dns hijacking,, haya endeleen na group zenu zenye password, msivunjike moyo itakubali tu. duh maspy wanataka kuona action wafunge, imekula kwenu davo kwa tcp inapiga kazi kam kawa,, port 80 ya zaman inahusika hapa,, bora ninyamaze hints zinatosha kwa leo.
 
Stay silent ..... Enjoy .
 
We endelea kujifariji tu na kuwapanikisha maspy wa DAVO Sijui unaposema TCP unaelewa hata maana yake na mode of action yake?

Anyways big up kwa kuwaweka roho juu maspy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…