Washikaji mnakumbuka kunyoa mapanki? Hahahahahaa.....kuna midingi ilikuwa minoko kichizi......halafu mashuleni ndo walikuwa wanoko kichizi. Mnakumbuka movie ya House Party.....baada ya movie kupata umaarufu watu wakaanza kunyoa kama Kid.....ahahahahahahaaa.....those were the days man.....
Bushi kwetu manati sana na kudandia miti ya mipera na mipira ya makaratasi mchezaji mmoja akiwa na umbo kubwa mpira hauchezwi halafu ni mwendo wa peku mwanawane!!!!
Bushi kwetu manati sana na kudandia miti ya mipera na mipira ya makaratasi mchezaji mmoja akiwa na umbo kubwa mpira hauchezwi halafu ni mwendo wa peku mwanawane!!!!