sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,491
Dollar milion 6 (trilion 12 za Tanzania kwa exchange rate ya sasa) zilizopigwa EGMA kupitia STANBIC zingegawanywa kwa kila Mtanzania hadi anayezaliwa sekunde hii hadi kwa wakimbizi, kila mmoja angepatiwa Tshs 200,000/= ambazo;
= ni pesa ya kula mwezi mzima bila kufanya kazi.
= ingetosha kila Mtanzania kuwa na madawati manne.
= trilion 12 ingeweka lami kilometre 12,000
= trilion 12 ingelipa mishahara watumishi wote nchini kwa miaka miwili.
HEBU TUONGEZE MAMBO MENGINE AMBAYO YANGEFANYWA NA HIYO TRILION 12
Halafu nasikia kuna jamaa wanataka kwenda kuwekea watuhumiwa dhamana nikajiuliza hivi ni Watanzania wenzetu ama ni Vikundi vya kigaidi?