Trick ya voda free net kwa Android phones


Chief-Mkwawa Kwa Nokia N80 na Symbian nyinginezo unafanyaje mkuu? Maana huo uzi mi ulinipita
 
Last edited by a moderator:
Guys sasa hivi nimeacha Kufundisha hivi vitu mtanisamehe ila hint tu nawapa badili hio 0.facebook.com iwe free site ya mtandao Wako then itakubali

Krait kwa Symbian tafuta opera handler ya Java itafanya kazi kwenye simu yako
 
Last edited by a moderator:

mbna hiyo link kwang inakataa nifanyaj niipate hyo operamin
 

Samahani, hv hakuna njia ingine ya kuipata hiyo operamin hadler maana kwangu hiyo link haifunguki kabisa
 
Kwa iyo hapo nikitumia app nyingine nje ya iyo opera bado ni free
 
Guys sasa hivi nimeacha Kufundisha hivi vitu mtanisamehe ila hint tu nawapa badili hio 0.facebook.com iwe free site ya mtandao Wako then itakubali
Krait kwa Symbian tafuta opera handler ya Java itafanya kazi kwenye simu yako

Sijakueleawa apa mkuu,iwe free site una mana gani
 
Last edited by a moderator:
ukitumia hii kitu operemin handler mpaka whatsapp na makororo yake nakula bure? CHIEF MKWAWA
 
Last edited by a moderator:
Eheh inabidi nicheke maaana maelezo yamekamilikaa, lakini watu still kuelewaaa ni tatizo...

Huu uzi wa mwaka juzi huu mlikuwa wapi nyie watu...???

Acheni uvivu bhana,, kama unatumiaa android unaweza ingia google then uka type

Operamini handler apk
utaletewaa results then utachek kwenye hizoo results,, sasa wandugu ukitaka utafuniwe kilaa kitu mpaka link utafutiweee,,, utakesha kuulizaaa tuu...
 
Sijakueleawa apa mkuu,iwe free site una mana gani

miaka 3 iliopita 0.facebook.com ilikuwa bure kwa kutumia vodacom, free site inamaanisha website unayoingia bila kuwa na salio kwenye simu
 
daaahhh....hata mimi inaandka hvyo.....apps not installed.An existing package by the same name witn a conflict sign z already unstalled
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…