Trick ya voda free net kwa Android phones

Thank, today is ma lucky day! i succeeded to install the app. Now. am rock freely!
 
chief nakushukuru sana kwani mara nyingi umekuwa ukitusaidia sana. Hii trick ya awali nilikuwa naitumia sana kwenye nokia e61, lakini iligoma kwenye my n900 hadi ikanibidi niweke os mbili ya Android Gingerbread (N12_UMay). Hatimaye leo nimefanikia my Android N900 is using freenet. asante sana.
 
mkuu nmeidownload hyo lkn naiopen kwa baadh ya apps haifunguk!!labda prog gn inafaa kuifungua?natumia android
 
mkuu nmeidownload hyo lkn naiopen kwa baadh ya apps haifunguk!!labda prog gn inafaa kuifungua?natumia android

Jaribu kusearch zip manager kwenye google play store ili uopen hilo file la zip
 
Mimi nina Sansung Galax GT - S 6102 mbona inakataa? Msaada pls!
 
Mkuu mimi natatizwa najinsi kutumia application ya Samsung ap je nifanyeje naomba msaada
 
Haya maujanja nayatamani ila mie sio mzuri kwenye hizo application.
 

Mbona mm inaniandikia "web unavailable or permanently moved?"
natumia huawei y300
 
Mbona mm inaniandikia "web unavailable or permanently moved?"
natumia huawei y300

We unadhani miezi yote hiyo bado voda hawajaziba tu hiyo leakage???..washaigundua hii trick na wamezuwia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…