Trick ya voda free net kwa Android phones



inakuaje nashindwa kuinstall iyo operamini ikiwa zipped...naiunzip lakini bado nashindwa kuiinstal
 
tufanyeje na ktk modem za voda ili tudownload freely?
 
inakuaje nashindwa kuinstall iyo operamini ikiwa zipped...naiunzip lakini bado nashindwa kuiinstal

Me mwenyewe naface the same problem, nkiliunzip ilo file thn yanakuja mafile kadhaa ambayo yote hayafunguki.. msaada jaman 2pate uhondo na sisi
 
Me mwenyewe naface the same problem, nkiliunzip ilo file thn yanakuja mafile kadhaa ambayo yote hayafunguki.. msaada jaman 2pate uhondo na sisi

kuna file linakua zipped na kuna file linakua renamed liwe zip (kuavoid mambo ya copyright)

so kwanza unzip file ukiona yanakuja mengi kama unavosema kama file manifest na classes then rename file lako

mfano file linaitwa firewall.zip rename liwe firewall.apk then jaribu kuinstall maybe itasaidia

-then la muhimu zaidi make sure una simu ya android
 

Mkuu nna android.. Nmefanya ka ulivosema apo juu. Nikiopen ilo file la .apk installation inaanza freesh ila mwisho wa siku inagoma mwishoni.. inaeleta ujumbe kwamba "not installed" wacha niendelee kujarib jarib nkifanikiwa ntarudi..! all in all shukrani
 
Badala ya kujadili ku create something new katika njanja ya technology mnawaza kuiba tu...
Akili za mbayuwayu changanya na zako
 
mweh...mbona kwangu sipaoni pa kuweka IP address?..........
 
kwa kufanya hivyo utakuwa unapata internet free ama unapata facebook,com free?
 
mimi natumia ideos, nikitaka kuinstall inagoma. msaada please.
 
nmedownload kwnye android,lkn cjui hyo file naifungua kwa app gn? office suite,html viewer zmezingua,,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…