TRICK: TENGENEZA PESA KIRAHISI ONLINE

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Hello guys leo ntawafundisha jinsi ya kupiga pesa online bila chenga, Njia yetu itahisiha c.p.a kwa kirefu ni cost per action

COST PER ACTION NI NINI?
Cost per action ni mfumo ambao kitendo fulani kikifanyika kuna gharama inabidi alipwe mtu aliefanikisha zoezi la kukifanya hicho kitu, Kwa mfano kuna kampuni inataka application yao iingizwe na watu wengi ili ifahamike, Wewe kazi yako itabidi uwafanye watu waingize application hiyo na kwa kila jitihada zako zitazofanya kichwa kimoja kiiingize application utapewa hela mf. dola 0.4 (around 800 tshs )

MITANDAO GANI INATUPA HUDUMA ZA COST PER ACTION

Mitandao ipo mingi lakini nakushauri ujiunge na hawa o.g.ads OGAds.com | Mobile & Desktop Incentive Affiliate Content Locking Network ambao wantrend kwa sasa among many,

NITAWEZAJE KUMFANYA MTU AINGIZE APPLICATION ILI NIPATE HELA?

Kuna njia nyingi lakini njia nayotumia mimi ni kumfanya punda atembee kwa kuweka karoti mbele ya macho yake huku mimi nikiwa nimempanda, Nachofanya mimi naangalia kitu gani watu wanakipenda, Kwakuwa hii mitandao ya cpa mara nyingi inapendelea maeneo ya marekani na ulaya napendelea kuweka games, Watu wanapenda sana kujiongeza kwenye games mpya kwa njia ya cheats so nachofanya naengeneza video inayoonyesha jinsi ya kupata cheats za game ambayo imetoka karibuni huku nikiweka website ambayo inaonyesha kwamba ukiweka username yako utapata trick fulani ya kwenye game yako lakini kabla hujamaliza zoezi inabidi uinstall application kama sharti


WEBSITES ZA CHEATS ZA GAME

Hizi ni website ambazo mtu anaweka jina (username) ya kwenye game yake anaandika ni kiasi gani cha cheats anachotaka ziende kwenye account yake.e.tc, mfano ni huu
upload_2017-12-1_21-25-51.png


Jinsi ya kuchukua website za cheats mtandaoni na kuziwekea link yako ya c.p.a



NATAKA VIDEO YANGU YA YOUTUBE ITEMBELEWE SANA NIFENYEJE

Kwanza kabisa hapa hii njia tunacheza rafu, So take care tengeneza account mpya ya youtube kwa ajili ya huu mchongo, Usitumie account zako zile safi za adsense, UTAJUTIA:D:D,

Sio siri tena views zinanulika hakuna cha vevo wala cha nini ni hela yako tu, Views, Comments, Likes na dislikes vyote vinanunulika, Back to the point kama unataka kushika namba za juu youtube tafuta games ambazo ni mpya na zinatrenda lakini zina videos chache zenye cheats na hizo videos ziwe at least na ushindani mdogo wa chini ya views elf 15 hivi kwa kila video, Cha kufanya upload video yako youtube iweke unlisted then nunua high retention views 2,000 hivi, mwagia likes kama mia hivi maliza na koments 10 kuwa cheat inapiga kazi...Baada ya masaa 10 hivi iweke video yako iwe public,,,,BOOOM!!! wewe ndie namba moja na utaanza kupata watembeleaji wa kweli ambao wataamini kwamba cheat inapiga kazi, kununua views ingia hapa smmstore.pro - 1st SMM Reseller Panel | SMM Panel

UNATOAJE PESA
Napendelea kutoa pesa kwa njia ya payoneer

baada ya hapo maisha yanaendelea kwa leo tangu jana nilivyoweka video youtube nimepiga almost laki mbili na upuuzi just in one day tangu jana...Sio kawaida yangu ila leo nimewaotea wazung:):)
upload_2017-12-1_21-38-18.png
 
Last edited:
Sema hizo mambo ufanye kwenye acccount ambayo hauogopi kuipoteza maana unaweza kula ban kirahisi tu huwa youtube hawapendi ujinga wakidetect tu wanakupa kichapo na ukiappeal hawachomoi kama una $$ zako kwenye adsense ndo sahau
Ila ikitiki fresh tu
 
Sema hizo mambo ufanye kwenye acccount ambayo hauogopi kuipoteza maana unaweza kula ban kirahisi tu huwa youtube hawapendi ujinga wakidetect tu wanakupa kichapo na ukiappeal hawachomoi kama una $$ zako kwenye adsense ndo sahau
Ila ikitiki fresh tu
Noted: Nlisahau, asante kwa kunkumbusha
 
dah nmekukute kwenye kusain up kwnye mtandao wa kununua likes nimekuta blank ya skype sa cjui apa unajaza nini
 
alafu malipo yanafanywa kupitia account au mtandao gani kwenye kununua likes,na hiyo payoneer unaipataje
 
dah nmekukute kwenye kusain up kwnye mtandao wa kununua likes nimekuta blank ya skype sa cjui apa unajaza nini
Jisajili skype then uweke username yako hapo
alafu malipo yanafanywa kupitia account au mtandao gani kwenye kununua likes,na hiyo payoneer unaipataje
ukishajisajili ingia sehemu ya "add funds" utapewa maelekezo, I recommand kutumia skrill au bitcoins, Njia ya paypal anayotaka kutumiwa pesa ya "send to friends" haifanyi kazi kwa benki zetu
 
Sema hizo mambo ufanye kwenye acccount ambayo hauogopi kuipoteza maana unaweza kula ban kirahisi tu huwa youtube hawapendi ujinga wakidetect tu wanakupa kichapo na ukiappeal hawachomoi kama una $$ zako kwenye adsense ndo sahau
Ila ikitiki fresh tu
duh ahsante kwa haya
 
Back
Top Bottom