ni kituo cha mwananchi tabata.
Treni ameligonga kwa makusudi gari lilikuwa limekwama kutokana na traffic jam inayosababishwa na marori maeneo hayo ya relini.
Mara baada ya kuligonga gari ikiwa mwendo
mdogo kabisa lilirudi nyuma kuchukua abiria na kuendelea na safari.n
gari hiyo aina ya defender iliachwa nyanganyanga
Treni sio vitz....Huyu dereva wa hiyo treni ni mataakoo sana.....
Hata kama uko sawa kisheria, haimaanishi ugonge wakati unaweza kuepuka!!!
Busara zikitumika ipasavyo kuna mambo mengine wala hayahitaji sheria...
Huyu dereva wa hiyo treni ni mataakoo sana.....
Hata kama uko sawa kisheria, haimaanishi ugonge wakati unaweza kuepuka!!!
Busara zikitumika ipasavyo kuna mambo mengine wala hayahitaji sheria...
Kwa sheria za nchi hii hapo sio treni imegonga gari bali ni gari limegonga treni,labda ungesema yule (hivi muongoza treni anaitwa nani?) angepunguza mwendo na kumsubiri mwenye gari atoe hilo gari lake.Ila kisheria hapo treni iko sawa
hebu ficha up......vu wako! sitaki kuamini kuwa wewe ni kilaza kiasi hicho!Hekima ya namna gani ulitaka itumike?Angeepukaje kuigonga gari hiyo?kwa kutoka kwenye rail na kupita pembeni?au kwa kufunga breki za ghafla?unayajua madhara ya breki za ghafla kwa treni?Unajua ni muda gani na kwa umbali gani treni inaweza kusimamishwa na ikakubali kusimama?kabla hujaandika jaribu kukifahamu unachotaka kukiandika.
Ni kituo cha mwananchi tabata.
Treni ameligonga kwa makusudi gari lilikuwa limekwama kutokana na traffic jam inayosababishwa na marori maeneo hayo ya relini.
Mara baada ya kuligonga gari ikiwa mwendo
mdogo kabisa lilirudi nyuma kuchukua abiria na kuendelea na safari.n
Gari hiyo aina ya defender iliachwa nyanganyanga
Huyu dereva wa hiyo treni ni mataakoo sana.....
Hata kama uko sawa kisheria, haimaanishi ugonge wakati unaweza kuepuka!!!
Busara zikitumika ipasavyo kuna mambo mengine wala hayahitaji sheria...
Kwa sheria za nchi hii hapo sio treni imegonga gari bali ni gari limegonga treni,labda ungesema yule (hivi muongoza treni anaitwa nani?) angepunguza mwendo na kumsubiri mwenye gari atoe hilo gari lake.Ila kisheria hapo treni iko sawa
Hata mimi nimefungua haraka treni ilitoka kwenye reli. Uderva wa mazoea ni hatari. Je trafiki wamepima? Huyo dereva wa defenda anayo kesi ya kujibu. Makosa yake ni 1. Kendesha bila ya kuchukua tahadhari i.e alama za barabarani; 2. Kusimama kwenye njia ya reli kwa minajili ya kuizuia; 3. Kusababisha ajali; 4. Kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara; kama alikimbia - 5. Kukimbia baada ya kusababisha ajali (ikiwa kama hakukuwa na ulazima kadiri ya mazingira ya ajali i.e kuokoa maisha yake); 6. ......
Kwa bahati mbaya kwa sasa sitoweza kuweka bayana vifungu vya sheria. Pole yake: bima itamkana, na anaweza kunyea ndoo. Sijui mtasema shetani ndiye aliyesababisha!
Sio sheria za nchi hii, hii ni sheria ya kimataifa kwa garimoshi kugongwa hashwa na magari.Kwa sheria za nchi hii hapo sio treni imegonga gari bali ni gari limegonga treni,labda ungesema yule (hivi muongoza treni anaitwa nani?) angepunguza mwendo na kumsubiri mwenye gari atoe hilo gari lake.Ila kisheria hapo treni iko sawa
tuwe tunafwata taratibu na sheria zilizowekwa, na akili na busara pia.
watanzania tumekuwa na tatizo sugu la kutofwata sheria na taratibu za nchi. huo ulikuwa uzembe uliotokana na kutotaka kufwata sheria ya kutokaa katika reli.
sasa hv waenda kwa miguu wengi wamekuwa wakigongwa na magari kwa kutovuka katika sehemu maalumu za kuvukia waenda kwa miguu unakuta kila mtu kwa wakati wake sehemu yoyote ya barabara anachomoka na kuvuka barabara. hii inawaletea shida sana waendesha vyombo vya moto.
bodaboda wamekuwa wapita ovyoovyo tu akiona upenyo kakatiza na kusababisha ajali nyingi ambazo zingeepukika.
tujenge utamaduni wa kufwata sheria na taratibu za nchi. ndio maana tukienda nchi za wenzetu tunapata shida kwa sababu wenzetu wako vizuri katika kufwata sheria.
Ni traffic offence adhabu yake ni fine, unless kukitokea loss of life!.duh makosa yote hayo? lazima afungwe.
Ni kituo cha mwananchi tabata.
Treni ameligonga kwa makusudi gari lilikuwa limekwama kutokana na traffic jam inayosababishwa na marori maeneo hayo ya relini.
Mara baada ya kuligonga gari ikiwa mwendo
mdogo kabisa lilirudi nyuma kuchukua abiria na kuendelea na safari.n
Gari hiyo aina ya defender iliachwa nyanganyanga
Leo ni ajali ya pili hiyo maana asubuhi sana rav 4 imegonga garimoshi hilo kwenye makutano ya barabara ya kuelekea shekilango na ubungo maziwa.
Madereva wa Dar wazembe sana.