Hata mimi nimefungua haraka treni ilitoka kwenye reli. Uderva wa mazoea ni hatari. Je trafiki wamepima? Huyo dereva wa defenda anayo kesi ya kujibu. Makosa yake ni 1. Kendesha bila ya kuchukua tahadhari; 2. Kusimama kwenye njia ya reli kwa minajili ya kuizuia; 3. Kusababisha ajali; 4. Kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
Kwa bahati mbaya kwa sasa sitoweza kuweka bayana vifungu vya sheria. Pole yake: bima itamkana, na anaweza kunyea ndoo. Sijui mtasema shetani ndiye aliyesababisha!