Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
- Thread starter
- #21
HaahhahahaWale miwa ipo mingi sana hapo
HaahhahahaWale miwa ipo mingi sana hapo
Na waha walivyokosaga ustaarabu jaman..watakuwa wanajisaidia haja zote humo humo na walivyo na makelele sasa kwenye treni hhaehehehehehe...! hili kabila ni shidaaa
Ndugu zako haoNa waha walivyokosaga ustaarabu jaman..watakuwa wanajisaidia haja zote humo humo na walivyo na makelele sasa kwenye treni hhaehehehehehe...! hili kabila ni shidaaa
NahNdugu zako hao
Best nakutafuta ,nifungulie bas kule[emoji4]
imekwama eneo la kazuramimba siku ya nne leo
wagonjwa na watoto wakosa huduma muhimu kwa siku mbili sasa
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana miradi ya kimkakatiKipaumbele chetu ni kujenga SGR sio huduma kwenye reli ya zamani. Wawe na subira hadi tukamilishe miradi yote mikuu.
How stupid!Yaani kutoka Moro mpaka Kigoma tena kwa treni ya express inachukua siku mbili. Duh!
Vipi kama treni haitakuwa express?
Huu ni umaskini wa kupita maelezo.
Bora mkoloni arudi tu.
Jina la. Kanda ya mlima sio Kg hahhahAisee, baadae tuna kikao kizito Waha wote kulijadili hili suala, tafadhali tutake radhi kabla hatujafanya tambiko letu la mawese na migebuka.
Na waha walivyokosaga ustaarabu jaman..watakuwa wanajisaidia haja zote humo humo na walivyo na makelele sasa kwenye treni hhaehehehehehe...! hili kabila ni shidaaa
Ambacho hujaelewa hapo nini..
Mimi sichangii kwasababu ya kuogopa kuitwa mchochezi
Mhh...mpendwa lina ukweli hiliTuachane na hayo kwanza, nipe pole kwani nami ni mhanga wa hilo gari moshi ....hapa nina njaa ya siku 3, fanya mchakato uniletee ugali wa lowe na migebuka!
Ambacho hujaelewa hapo nini..
Treni ni express ulitakiwa ifike baada ya siku 2...imeongeza siku mbili nyingine kwenye mkwamo huo jumla siku 4
Treni ya express iliyokua inatoka moro kwenda kigoma imekwama eneo la kazuramimba siku ya nne leo..abiria wamekwama siku ya nne leo bila taarifa yoyote,abiria wakosa vyakula,wagonjwa na watoto wakosa huduma muhimu kwa siku mbili sasa,treni ulitakiwa itumie siku mbili kufika kigoma mjini.
Na waha walivyokosaga ustaarabu jaman..watakuwa wanajisaidia haja zote humo humo na walivyo na makelele sasa kwenye treni hhaehehehehehe...! hili kabila ni shidaaa
Kutoka kazuramimba mpaka kigoma ni mwendo wa saa moja tu au dakika 45. Kwa nini wasichukuwe bus na magari yako mengi sana ya kutoka Uvinza kwenda kigoma mjini. Ukae Kazuramimba siku nne wakati unaiona kigoma hapo karibu bwege sana.Treni ya express iliyokua inatoka moro kwenda kigoma imekwama eneo la kazuramimba siku ya nne leo..abiria wamekwama siku ya nne leo bila taarifa yoyote,abiria wakosa vyakula,wagonjwa na watoto wakosa huduma muhimu kwa siku mbili sasa,treni ulitakiwa itumie siku mbili kufika kigoma mjini.
Kutoka kazuramimba mpaka kigoma ni mwendo wa saa moja tu au dakika 45. Kwa nini wasichukuwe bus na magari yako mengi sana ya kutoka Uvinza kwenda kigoma mjini. Ukae Kazuramimba siku nne wakati unaiona kigoma hapo karibu bwege sana.