mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
Una akili sana ndugu yangu, zipelekwe na ijengwe haraka sana tutaona maendeleo tu?Billion 700 za Barick zipelekwe huko
Una akili sana ndugu yangu, zipelekwe na ijengwe haraka sana tutaona maendeleo tu?Billion 700 za Barick zipelekwe huko
Hata kama hiyo reli itasafirisha abiria pekee bado italeta faida pamoja na unafuu wa safari.Swali muhimu zaidi unasafirisha nn toka dar to dodoma chenye ulazima wa ku invest trilion za feza??? Au zile bombadia
Ulikuwapo kwenye hayo majadiliano!!msitupoteze maboya tumepigwa kwenye majadiliano
That's my Country!
Chadema hakuna kupanda Treni yetu!
Yaani kauliza maswali ya kwenye FB. What????. Usawa huu tufundishane faida za SGR kwa wananchi wa kawaida?umeuliza swali la kipumbavu kabisa
Bahati yake Magufuli ni mcha Mungu. La sivyo tungekuwa tunaongelea mengine saa hizi. Watu kama hawa ni kuwanyonga kabisa.Watu kama wewe akina Stalin na Lenin walikuwa wanawaua na kuwamaliza
Maana hata kuku kakuzidi akili
Nisome hapa kwenye hii mada yangu ya mwaka jana ndio utanielewa vizuri.Usiwe mvivu wa kufikiria mkuu, kwan lazima iende dodoma?
Acha nikupe tahadhari brother!"Kwani hiyo SGR inamsaidiaje raia wa kipato cha chini?"
Hapo ndo utakapojua kuna watu muda huu walitakiwa wawe wanaishi Serengeti.
Kuna quotation marks hapo kwa jamaa, kamsome tena, labda utamuelewaumeuliza swali la kipumbavu kabisa
Mkuu, mbona huwa uko vizuri sana upstairs. Umeshindwa kuelewa alichokiandika jamaa?Kuelewa kipi hasa!
Unaweza kuuliza swali kama hilo mzima kichwani au umeshikwa na Sifa zakupinga hata visivyo pingika!
If only you understood what he meant, you would know that he's smarter than you!Yaani kauliza maswali ya kwenye FB. What a stupid fellow. Usawa huu tufundishane faida za SGR kwa wananchi wa kawaida?
Baada ya kuirudia twna post yako nimegundua nimekupa lawama isio stahili"Kwani hiyo SGR inamsaidiaje raia wa kipato cha chini?"
Hapo ndo utakapojua kuna watu muda huu walitakiwa wawe wanaishi Serengeti.
Watu wengi wamekariri kusoma ni ule uwezo wa kutamka maneno yaliyoandikwa tu.Acha nikupe tahadhari brother!
IQ ya watanzania wenzetu wengi iko chini sana. Wanaweza kusoma ila kuelewa walichokisoma ni tatizo jingine.
So, next time tumia lugha ya kawaida wakuelewe.
Mimi binafsi nimekuelewa
Dah kweli Mimi mwenyewe sasa ndo nimemwelewa. Nkajua yy ndo anauliza swali la hivo.kumbe anajua kuna watanzania wanaweza uliza hivo.Hizo quotations marks ndo watu hawakuzielewaKuna quotation marks hapo kwa jamaa, kamsome tena, labda utamuelewa
Samahani sana nduguHata wewe hukuelewa ulichokisoma?
Rekebisha kauli yasikukute ambayo hukuyataraji..."Kwani hiyo SGR inamsaidiaje raia wa kipato cha chini?"
Hapo ndo utakapojua kuna watu muda huu walitakiwa wawe wanaishi Serengeti.