Treni Mpya Ya Kisasa Tz, Dar-Dodoma Masaa Mawili Tu

"Kwani hiyo SGR inamsaidiaje raia wa kipato cha chini?"
Hapo ndo utakapojua kuna watu muda huu walitakiwa wawe wanaishi Serengeti.
Swali muhimu zaidi unasafirisha nn toka dar to dodoma chenye ulazima wa ku invest trilion za feza??? Au zile bombadia
 
Kuna house ya bi mkubwa wangu inabidi ivunjwe somewhere hapo Morogoro ili kupisha uho mradi, ,,,,Sijui watawafidia vizur au ndio watu wa Kati watawachakachua, ameniambia jana na leo Naona hii news
 
Swali muhimu zaidi unasafirisha nn toka dar to dodoma chenye ulazima wa ku invest trilion za feza??? Au zile bombadia
mmejitoa ufahamu siku hizi kwanza destnation ni mz na kigoma kwa akili yako unaoana hamna abilia wala mizigo
 
Back
Top Bottom