Treni Mpya Ya Kisasa Tz, Dar-Dodoma Masaa Mawili Tu

"Kwani hiyo SGR inamsaidiaje raia wa kipato cha chini?"
Hapo ndo utakapojua kuna watu muda huu walitakiwa wawe wanaishi Serengeti.
Acha nikupe tahadhari brother!

IQ ya watanzania wenzetu wengi iko chini sana. Wanaweza kusoma ila kuelewa walichokisoma ni tatizo jingine.

So, next time tumia lugha ya kawaida wakuelewe.

Mimi binafsi nimekuelewa

 
Kuelewa kipi hasa!
Unaweza kuuliza swali kama hilo mzima kichwani au umeshikwa na Sifa zakupinga hata visivyo pingika!
Mkuu, mbona huwa uko vizuri sana upstairs. Umeshindwa kuelewa alichokiandika jamaa?

Rudia kusoma, angalia kama hiyo ni statement au quotation. Then angalia kauli yake ya mwisho.
 
Yaani kauliza maswali ya kwenye FB. What a stupid fellow. Usawa huu tufundishane faida za SGR kwa wananchi wa kawaida?
If only you understood what he meant, you would know that he's smarter than you!
 
Acha nikupe tahadhari brother!

IQ ya watanzania wenzetu wengi iko chini sana. Wanaweza kusoma ila kuelewa walichokisoma ni tatizo jingine.

So, next time tumia lugha ya kawaida wakuelewe.

Mimi binafsi nimekuelewa

Watu wengi wamekariri kusoma ni ule uwezo wa kutamka maneno yaliyoandikwa tu.

Sidhani kama wanaelewa maana ya maneno wanayoyasoma na ndio sababu inawawia vigumu kuunganisha maana mbalimbali na kupata mtiririko wa kimantiki uliokusudiwa.
 
Kuna quotation marks hapo kwa jamaa, kamsome tena, labda utamuelewa
Dah kweli Mimi mwenyewe sasa ndo nimemwelewa. Nkajua yy ndo anauliza swali la hivo.kumbe anajua kuna watanzania wanaweza uliza hivo.Hizo quotations marks ndo watu hawakuzielewa
 
"Kwani hiyo SGR inamsaidiaje raia wa kipato cha chini?"
Hapo ndo utakapojua kuna watu muda huu walitakiwa wawe wanaishi Serengeti.
Rekebisha kauli yasikukute ambayo hukuyataraji...

Kijiji : Nyibokho
Kata : Kisaka
Tarafa : Ngoreme
Wilaya : Serengeti

Huko usipige dongo nikakusikia. Tengua kauli
 
Back
Top Bottom