G.25
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 1,788
- 1,967
Kwa kipande cha Dar to Moro tutakujengea reli kwa bei ya ofa ya sh. 500 bilioni. Hapo bei hiyo itajumuisha vituo sita pamoja na karakana 3 ambazo no full equiped.
Mimi ni wakala wa kampuni ya kuuza matreni kutoka Wuhan China
Tunauza treni lenye uwezo wa kubeba tani sita, linatumia diesel au petrol, linadumu hadi miaka 18, pia linatembea kwenye reli ya sgr
Bei ni bilioni 1.5
Tunapeleka kokote bure kwa Dar
Mikoani pia tunatuma
Bei inaongeleka.
View attachment 1406897
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakuuzia treni halafu ukalipitishe kwenye reli ya nani?Ok ila hapo uliposema mnapeleka popote mmeniacha hoi.. Yani hata kama hakuna njia yake mnapeleka? BTW sidhani kama China bado kuna hizo version... Anyway ni biashara... Wahitaji watakuja
Jr[emoji769]
Inakula mtori hii chiefningenunua...tatizo izi model zinakunywa sana mafuta
Vp Naweza kupita nayo pale kariakoo
Sent from my SM-A105G using Tapatalk
Mkuu ngoja niwasiliane na fundi maiko aje na rangi alibadilishe ili ulichukue hili ni imara sana
Mkuu tunatuma mkoani kwa bei nafuu sananipo shimbumbu uku vip mnatuma mikoani??
Ni shilingi hizo mkuu, komaa tu utapata hela. Lipo lingine dogo linabeba watu nane ntakuuzia kwa bei ya ofa 350milioniHivi hizo bilioni mnazotaja na kuziandika ni za nchi gani?