Treni laacha watu 1000

we move one step ahead every year.. 2014 watajipanga. Vumilieni watu wa dar
 
Naamini kila mmoja wetu akicheza part yake inawezekana kuwa na usafiri uliotulia wa train ambao utawasaidia wengi.. Tuweke ushabiki pembeni kwa hili maana linatugusa moja kwa moja.. So far Dr. Mwakyembe amejitofautisha kwa kuonyesha ni mtekelezaji wa ahadi.. Acichoke na ni vizuri tukamtia moyo aendelee na mipango..
 
Mimi mwenyewe leo ni muhanga. Tumefika stesheni kukawa hakuna tiketi eti kwasababu ya mtandao, tumekaa sana mtandao umerudi tiketi zikaisha, treni likaondoka na kuacha abiria wengi sana stesheni wasiokuwa na tiketi. Tukaamua kuondoka zetu. Hakika wanatakiwa kujipanga. Watu ni wengi wanaoona tereni ni mbadala hasa kwa hii foleni ya bongo.
 
Nadhani wakiiga ndugu zetu wa India watagundua kwamba hata juu na penyewe panakalika

 

Hata umpe nini mwanadamu katu hawezi kuridhika atakosoa tu. Hata Roma haikujengwa kwa siku moja heri yake kajaribu kuliko wengine wanaopiga kelele.
 

Acheni chuki binafsi, roho mbaya zimewajaa mmejaribu kumuua mmeshindwa sasa anafanya kazi mnasema anatafuta umarufu..shida ya kuishi kwa shemeji hufikiriii maana kila kitu unakikuta kipo..ovyooo
 
Sasa tembo utalitia maji,kuh local investors hilo mimi siliafiki,atakuja mtu ashushe marco polo za relini muanze kusema ooOOOh ni za Riz1,Tumuachie baba wa watu wa Kinyakyusa aendeleze Idea yake,kwani nyie siku zote mlikuwa wapi,zaidi ya kung'oa zile reli na kwenda kupima chuma chakavu.
 


hujui nini maana ya hiyo unayoiita town train. Yaonekana we ulipozaliwa hukutambaa halafu kwa kutojua kwamba kuna hatua uliiruka unawacheka wote wanaoanza na hatua ya kutambaa kabla ya kutembea
 
Waongeze mabehewa mwenyewe nimeshindwa kupanda pale stesheni kupata tiketi ni ishu jamaa hawajajipanga aidha wanahujumiwa
 

Mndengereko utamjua tu
 
Subiri linaudiwa tume mda sio mrefu. Hii nchi ni zaidi ya tuijuavyo.
 
sio wote 5 mil..wanaishi UBUNGO CHAMUHIM LAZIMA RELI ZIWE 2 THE TREN KILA DAKIKA 20 IJE NYINGINE HAPO KIDOGO ITASAIDIA KUPUNGUZ kelo waonge na NSSF waongezee mtaji kwani gharama zitarudi mapema
Huu ni mwanzo nani kakuambia ndo mwisho wa project? Pili hapo kwenye blue, elimu yako ya kiswahili inaonyesha shule za kata ni janga la kitaifa.
 
sio wote 5 mil..wanaishi UBUNGO CHAMUHIM LAZIMA RELI ZIWE 2 THE TREN KILA DAKIKA 20 IJE NYINGINE HAPO KIDOGO ITASAIDIA KUPUNGUZ kelo waonge na NSSF waongezee mtaji kwani gharama zitarudi mapema

Wewe!Waongee na mabenki,hatutaki NSSF ikapotelee huko hlf tuambiwe fao la kujitoa halipo!
 
Si tu kuongeza mabehewa, inatakiwa pia ziongezwe route, na reli, ikiwezekana hizo treni ziwe zinapishana. Maana kwa sasa inakuwa shida sana kusubiri treni moja hadi iende hukuo na kurudi. Naamini watu wengi kwa sasa wataamua kutumia treni kuliko daladala ambazo kiuhalisia zimekuwa na kero nyingi.
 
This is a point!
Nadhani watarekebisha hizi kasoro

Hayahayaa Dr mwakyembe kazi ni kwako kula vichwa hvyo laki nne mnaikosa hivi hivi kwa siku,je kwa mwaka sh ngapi mnapoteza?
 
Kweli binadamu hafadhiliki bora umfadhili mbuzi atasema asante

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…