AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
- Thread starter
- #81
MawazoMatatu,
Polepole uzi unavyokwenda tunapata jibu. Sioni kama bado hatana mwelekeo .. Hoja ni nzito ..lakini mwelekeo ni mzuri kuwa*MABADILIKO*ni muhimu na ili kuondoa*KIGUGUMIZI*cha kurudia Udhaifu wa Mabadiliko kadhaa yaliyotangulia kwa nchi mbalimbali za kiafrika kuwa ... hatimaye mabadiliko yanakuwa hayakuwa na TIJA ..tunajribu kuangalia ..Nini kifanyike...*
Na ninafikiri hadi hapa mjadala ulipo ni kuwa Kwa vile hakuna namna Nchi inaweza kuwepo bila Uongozi wa KisiaSA .. na sisi hatuna budi kuona hilo na kujua ni kweli lazima ..kwa wakati wowote ..lazima tuwe na Uongozi...*Sasa ni wazi CCM wako katika muda wao wa mwisho na lazima Chama kingine au mfumo mwingine uwepo ... ukiangalia kwa ukweli wote ... CHADEMA ndio wanamwelekeo ... Lakini ... KIGUGUMIZI .. wasije wakayarudia ya CCM mara tu muda ukipita baada ya kuwa madarakani. Wewe umeonyesha kuwa .... Kuwa MABADILIKO ni lazima na kuwa CHADEMA ...wameonyesha *... mambo kadhaa (kwenye bluue) waliyoyafanya yanayokupa moyo *na kukuondolea KIGUGUMIZI. .. amabocho ndio msingi wa kurusha huu uzi!!
Hii post ulozungumzia hapa AJ.... Inakua supported na Process nzima ya Uchaguzi wa Igunga.... IGUNGA ni fundisho kwa CCM na as much as wameshinda Naamini kama kweli wanafikiria na Kuzingatia Upepo na Muelekeo wa Siasa in relation to Chama chao na Vingine especially CDM; Ni moja ya Tukio ambalo kwa kweli watajua kua inabidi wajipange! Vivo hivo kwa CDM.... Wameshindwa padogo... Naamini nao wamejifunza mengi na kikubwa yatakiwa wakubali waaache lawana na learn from the mistakes and Infact they do have a right ya Kujipongeza for ni asilimia kubwa mno wameweza kamata Ukizingatia the fact kile ni kijiwe cha miaka nenda rudi cha CCM.... Kweli wana haki ya kujipongeza they have done good.