AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
- Thread starter
- #21
Hii tread ni muhumu sana kwa faida ya nchi yetu!
Tunapenda michango ya ujenzi ya namna hii.
Nimeipitia nimejifunza mengi sana nakupa pongezi AshaDII, kwa hii thread yako pita pita huku usikae sana kule kwenye jukwaa la lenu
Ritz i am humbled for the acknowledgement.... na nashukuru saana kua we are in the same line na umelitambua hilo hapo nilo bold. Hili suala naamini kabisa akilini mwa wengi (iwe uongozi pinzani ama Wananchi) tuna Great hopes kua hizo millions/billions of pesa ambazo ni wazi kabisa ziko katika off-shore accounts and in terms of Assets zitarudishwa - Which i don't believe kama Strategies hazitachukuliwa mapema kabisa kabla tu hata ya kuingia katika Uongozi mpya. Hivo basi ni muhimu kuligusia hili suala mapema.... Bahati mbaya saana wadau wa hili JLS wengi wanataka immediate politics - ya Ushabiki wa upande mmoja yaani iwe CDM Vs CCM ndo wanaona kua ni beneficial kwa inchi....