AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,081
Habari Wana JF .
Kwa woote ambao ni wadau wa Siasa from whatever side wapo . Ni wazi na dhahiri kua the Political party na Uongozi wa sasa wa CCMs days are numbered it may not be very soon; But soon enough. Kila Kiongozi wa vyama mbali mbali (CCM na vingine vyoote), Wadau wa Siasa na Wananchi wanatambua kua Uongozi wa juu hadi wasaidizi wa ngazi za juu na chini wa chama tawala wanagubikwa na in most cases kuhusishwa moja kwa moja na hizo kashfa za Ufisadi Kashfa ambazo in one way or another zaonekana wazi na evident kua zina chembe na ingredients za ukweli ndani yake; ikiwa Manifasted na mlipuko ya tuhuma na kashfa nzito kila kukicha!! Mpaka sasa ufisadi ni wimbo wa taifa letu hili changa, maskini na lililochakachuliwa .
Maelezo ya hapo juu hakuna jipya hapo . Ila kubwa lipo katika trend ya hizi Siasa zetu za nchi zetu hizi za kimasikini (hasa Sub-saharan nations) na utekelezaji wake katika utendaji. Nime observe jinsi nchi nyingi hasa majirani wetu ambavo hua na Viongozi mafisadi ambao eventually huweza watoa either by force or democracy na the way hu-handle the so called Mafisadi. Huo Uongozi mpya wa a new president na Chama huja na nguvu za soda za kuwashtaki Ex-viongozi alafu hatimae hayo mashtaka huishia hewani bila sababu zozote za msingi wala Maelekezo ya kutosheleza . Hizi inchi ni fundisho na somo tosha saana kwa Siasa zetu hapa nchini hasa in the lines za the way Viongozi wenye tuhuma nzito hua handled.
Mifano Halisi:-
A]. Via Lethal Force.
In Democratic Republic of Congo (then Zaire) - Tunaona in 1997 kua the late Mobutu Sese Seko anaikimbia nchi yake alotawala for more than three decades baada kuzidiwa nguvu na Upinzani ulokua chini ya the late Kabila Sr. hivo kupinduliwa na kutawaliwa na the new reign. It is/was common knowledge kua Mobutu ni moja wa Viongozi duniani ambao walilijimbikizia mali all over the world mpaka it is believed mpaka leo kua zingine zilipotea simply because hamna ambae angeweza account Mali zooote. Mobutu as much as alitolewa Uraisi, mali hizo hazikuweza rudishwa to date. Na as much as aliweza toroka na kuishi Morroco ambako alifia, IMO Uongozi mpya haukuweka much effort kumkamata ama ku revive the wealth Mobutu ali accumulate in power ambayo ilikua ni mali na haki ya wananchi
B]. By Democracy (IMO ya kudimba dimba)
Zambia - tunaona the way a well rooted party ya UNIP under the leadership ya Kenneth Kaunda ilishindwa na kupinduliwa in 1991 na Chama changa na pinzani cha MMD under Uraisi wa the Late Chiluba. Chiluba dragged to court Kaunda under the allegations za Ufisadi na case baada ya mda mrefu ikaishia hewani Ironically enough Chiluba alipomaliza Uongozi wake akawa na kashfa nzito zaidi ya zile za Kaunda na hivo nae kubulutwa hadi kortini kwa tuhuma hizo hizo za ufisadi na the late Mwanawassa However kesi yake nayo iliishia hivo hivo hewani. Mpaka hapa ambapo sasa wamempata Raisi mpya Mheshimiwa Sata (ingawa naamini kua Banda ambae ndo mstaafu - katika ufisadi nafikiri kidogo kapona hizo kashfa). IMO Zambia ni moja ya nchi ambayo kubadilika kwake kwa Uongozi wa Chama tawala na uongozi haujaonesha mabadiliko yoyote ya kuonesha kua Chama kipya kimekuja na kuwa gusa wanachi moja kwa moja, yaani MMD walikua hawana jipya zaidi ya UNIP, labda sasa tu-observe hawa PF..
Kenya - tunaona jinsi another well rooted Chama KANU chini ya Moi kinavo shindwa na kupinduliwa kwa kishindo na Chama kipya na kichanga cha PNU under Kibaki (baada ya kuungana vyama vyote Mfano ambao vyama pinzani wa Tanzania inabidi waige walau kuweza kwa uhakikika kabisa kuwangoa CCM uchaguzi ujao); Wakenya wameongea wee kuhusu Ufisadi na allegations mbali mbali wa Moi na wasaidizi wake kama akins Nicholas Biwott, India Kald, Kamlesh Pattin na kama sikosei hata George Saittoti yupo katika hio list thou the list continues But nothing has been done Or whatever efforts the results in vain na hapo nahisi imetoka! IMO walau Kenya ni nchi moja wapo ambayo ina mfano mzuri wa change ya Chama tawala na Uongozi ambavo imekua beneficial katika sectors mbali mbali (ingawa bado hali ni mbaya but afadhali) na pia kuongeza power of vote kwa mwanachi wa kawaida katika decision making related to their Nation na mambo husika e.g swala la Kenyatta in relation na mahakama ya ICC.
Areas of Concetration and Interest
- Chama pinzani kinapofanikiwa kupindua chama tawala Lets say CDM ifanikiwe kuwapindua CCM; Naamini kua moja ya malengo when in Presidential office ni kuwawajibisha Viongozi woote walofisadi/wanafisadi in one way or another. Je inatosha wao Viongozi walofisadi/wanafisadi kutolewa tu Uongozi bila adhabu (tena productive adhabu) au kuna umuhimu wa kwenda beyond??
- Ikumbukwe kua usongo na hasira za vyama pinzani na wanachi dhidi ya Viongozi wa sasa (i.e. CCM) na wale ambao ni wastaafu na wanausishwa na UFISADI kama vile Mkapa, Rostam, Lowassa na zaga zaga nyingine zoote za pembeni na chini ni sawa kabisa na zile ambazo:-
- The late Kabila Snr alikua nazo dhidi ya the late Mobutu & Co.
- PNU ilikua nazo dhidi KANU via Moi & Co.
- MMD walikua nazo dhidi ya UNIP via Kaunda & Co. and then later on Chiluba.
- PNU ilikua nazo dhidi KANU via Moi & Co.
- MMD walikua nazo dhidi ya UNIP via Kaunda & Co. and then later on Chiluba.
Bahati MBAYA or NZURI depending on ones side of interest hakuna la maana ilifanywa zaidi tu ya kutolewa Uongozi ama kupelekwa kortini kwa nguvu za soda tena ilokua diluted. Hypothetically thinking Wapinzani (hasa CDM) ni jinsi gani wamejipanga kupambana na MAFISADI baada ya kuvuliwa Uongozi Kwamba walau hayo mabilioni in Cash and Assets zirejeshwe kwa wananchi?? Ili walau kuto fanya Mistakes ambazo hufanywa mara nyingi na nchi zingine kama tulivo observe baadhi hapo juu??
- Ikumbukwe pia kua Ufisadi wa Uongozi kama vile Raisi in most cases hayaishii tu kwake bali hutembea hadi kwa familia Hio yategemea pia na First lady na watoto wa raisi nafasi na role yao pia katika huo Ufisadi na jinsi gani wahusika waweza abuse power just because ya ukaribu na raisi (i.e. Husband or father ) kama ilivopia rumored saana kuhusu baadhi ya wake za Maraisi wastaafu hapa nchini kwetu .
Tukiangalia inchi nyingine namely Egypt; Mfano mzuri ni Bi Suzanne Mubarak ambae baada ya yeye na familia yake yoote kua chini ya ulinzi mkali na interrogations aliweza rudisha millions in dollars ya Mali in Cash and Assets
. Ambazo alipata as a result of the abuse of power - kua she is the First lady (kwa Hosni Mubarak), hivo kuchukulia kama inchi ilikua yao na all its mali for their taking
. IMO Eygpt is one of the best examples ya the way Ufisadi ulikua/umekua handled
Pesa kwanza irudishwe kwa wanachi mashtaka badae
. Woote toka Raisi, mke the sons pamoja na kundi loote la uongozi na wasaidizi wamewajibishwa na pesa kwa kiasi kikubwa kurudishwa. Really Impressive!! Na wafaa kuigwa
- Narudi kwenye heading ya hii topic (thou at this stage still Hypothetical) Tokana na Trend ya Siasa zetu za Africa The way upepo unaenda, na the way Viongozi pinzani muonekano wao; ikitokea wakafanikiwa kuwavua CCM Utawala (which is just a matter of time) Is history going to repeat itself in Tanzania???
In relation to the Topic I quote Mwalimu;
We spoke and acted as if, given the opportunity for self-government, we would quickly create utopias. Instead injustice, even tyranny, is rampant.
Pamoja Saana
AshaDii.