Trekta laua wawili Mkoani Manyara

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
918
1,994
Watu wawili wamepoteza maisha na wengine 29 kujeruhiwa baada ya tela la trekta kupinduka karibu na Kijiji cha Terrat kilichopo mkoani Manyara.

Mkuu wa Wilaya, Ndugu Zephania Chaula amethibitisha.

Taarifa zaidi zaja..
 
Back
Top Bottom