Nyangabo2022
Senior Member
- Nov 13, 2022
- 130
- 221
Mkuu unalima heka ngapi kwa mfanoWanajamvi Mimi ni mkulima mdogo mwenye shauku kubwa ya kumiliki trector Kwa mwaka huu 2023, nmechoshwa na gharama kubwa ya matrector huko songea, heka Moja mwaka huu tumelima Kwa TSH 90000 had 100000, hapo hujarudia wakati wa kupanda! Hiki ni kilimo Cha mpunga! Nmeona sio vibaya nijchange change huku na Kule niwe na mashine ndipo nkakuta Tangazo la hiz trector nkawapgia wakasema mfn trector 75hp na jembe ni km 47mlns pia wanakopesha nikaona nishee na wenzangu km Kuna yeyote ameshuhudia uchapaji Kaz wake maana ni trector mpya tumezoea new Holland, Massey, swaraj nk ambazo bei zko juu ukilinganisha na Hz. Karbun.
Natarajia kulima heka 60 Kwa msimu ujao hzo ni Kwa zao la mpunga Kisha mahindi hata hekari 10 pia nitaangalia soya maziwa na maharage huko huko na alizetMkuu unalima heka ngapi kwa mfano
Ahsante mkuu nafanyia Kaz ushaur wako mzuriKama hutojali na kutokana na kazi unayoifanya ya kilimo Cha mpunga ungepata pawatila Siam Kubota. Kwa upande wa trekta usijali kikubwa angalia spea/ vipuli zake zinaingiliana na kampuni gani na upatikanaji wake upoje. Baadhi ya trekta likizingua unageuza kichanja hata Kama unahela, na nyingine huwa zinaharibika Mara Kwa Mara hasa pampu.
Trekta ukinunua Kwa keshi itakua poa Sana kuliko kukopa. Mfano Efta ilikua ukikopa marejesho ni Kila mwezi Kwa miaka mitatu na Kuna vigezo vya shamba na kiingilio lakini ukifeli marejesho hata Kama umebakiza miezi miwili liwe lako wanabeba.
Ukinunua pia utatakiwa kununua majembe na rota na angalau trela kwaajili ya kubebea mizigo wakati wa kiangazi au uwe unakodi.
Kuhusu pawatila utapata Kwa milioni 12 ikiwa complete na Kama ukiwa na pesa za kutosha unaweza kununua mbili. Ukiwa nazo mbili hapo mwenye trekta mnakula league na unaweza kumzidi kidoogo kutokana na wewe kutumia mafuta kidogo na PAWATILA kufanya kazi hata maeneo mapya au yasiyofikika Kwa trekta.
Kwa trekta roho ya paka ni New Holland, masey Ferguson, valtra, Kubota, ford na nyingine nyingi ambazo spa zake zinapatikana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Heka 60 chache sana kwa trekta mkuu, nashauri anza na power tiller tena moja tu iwe mjapan kubota, ili uitunze vizuri, kama maana ukiwa na power tiller 2 kama una heka sabini yaani 10 za mahindi 60 za mpunga utachoma hela ya manunuzi tu aana kama ziko sehemu moja upiga ndani week 3 au mwezi unamaliza kama una madereva 3.. usipoteze pesa kuchukua trekta kwa hizo hekari.Natarajia kulima heka 60 Kwa msimu ujao hzo ni Kwa zao la mpunga Kisha mahindi hata hekari 10 pia nitaangalia soya maziwa na maharage huko huko na alizet
Uzuri wa trekta ni kwamba akishalima shamba lake haimaanishi atalipaki mpaka msimu ujao, trekta ni biashara, akimaliza kwake anawalimia wengine kwa malipo anaingiza pesa!!Heka 60 chache sana kwa trekta mkuu, nashauri anza na power tiller tena moja tu iwe mjapan kubota, ili uitunze vizuri, kama maana ukiwa na power tiller 2 kama una heka sabini yaani 10 za mahindi 60 za mpunga utachoma hela ya manunuzi tu aana kama ziko sehemu moja upiga ndani week 3 au mwezi unamaliza kama una madereva 3.. usipoteze pesa kuchukua trekta kwa hizo hekari.
Trekta ndio ni gharama, ila kwa muda mrefu trekta ni nafuu kuliko hiyo power tiller.Heka 60 chache sana kwa trekta mkuu, nashauri anza na power tiller tena moja tu iwe mjapan kubota, ili uitunze vizuri, kama maana ukiwa na power tiller 2 kama una heka sabini yaani 10 za mahindi 60 za mpunga utachoma hela ya manunuzi tu aana kama ziko sehemu moja upiga ndani week 3 au mwezi unamaliza kama una madereva 3.. usipoteze pesa kuchukua trekta kwa hizo hekari.
Ni sawa kaka lakin mashamba ya mpunga udongo wake ni mzito ni mgimu pia, ni fulan unapasuka wakat wa kiangaz na Sion uwezekano wa powertiller kufany kaz nzuri! Lingne powertiller hazdumu Kuna moja nlmpa kibarua Tena kuburuza mlkolimwa hakuweza kipowertiller hakikati hata majan, kinatia hasira na trecta litatumika km kitega uchumiHeka 60 chache sana kwa trekta mkuu, nashauri anza na power tiller tena moja tu iwe mjapan kubota, ili uitunze vizuri, kama maana ukiwa na power tiller 2 kama una heka sabini yaani 10 za mahindi 60 za mpunga utachoma hela ya manunuzi tu aana kama ziko sehemu moja upiga ndani week 3 au mwezi unamaliza kama una madereva 3.. usipoteze pesa kuchukua trekta kwa hizo hekari.
Usilime kiangazi,lima masika,sisi huwa hatumilimi,tunasubiria mvua ichanganye kisha tunavuruga na rotavator Shamba likiwa tope kisha ndo tunaingiza rice planterNi sawa kaka lakin mashamba ya mpunga udongo wake ni mzito ni mgimu pia, ni fulan unapasuka wakat wa kiangaz na Sion uwezekano wa powertiller kufany kaz nzuri! Lingne powertiller hazdumu Kuna moja nlmpa kibarua Tena kuburuza mlkolimwa hakuweza kipowertiller hakikati hata majan, kinatia hasira na trecta litatumika km kitega uchumi
Boc hapo umenpa kitu kizur naomba picha ya rice planter na Bei yakeUsilime kiangazi,lima masika,sisi huwa hatumilimi,tunasubiria mvua ichanganye kisha tunavuruga na rotavator Shamba likiwa tope kisha ndo tunaingiza rice planter
Rotarvator huvuruga hata sehemu isiyo na maji? Kw maana sehem ya tope na Kuna majan saiz y magot?Boc hapo umenpa kitu kizur naomba picha ya rice planter na Bei yake
Rice planter bei utofautiana kulingana na ukubwa na pia kampuni,zipo hadi za manual za mkonoBoc hapo umenpa kitu kizur naomba picha ya rice planter na Bei yake
Hz za manual znaanzia Bei ganRice planter bei utofautiana kulingana na ukubwa na pia kampuni,zipo hadi za manual za mkono
Na kwa heka unamalza kw muda gan Kam mbegu zpoHz za manual znaanzia Bei gan