TRC/ Serikali iangalie kwa kina athari zinazoweza kujitokea eneo la daraja la Tungi/Yespa Morogoro

mpushi

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
280
76
IMG_1314.jpg

IMG_1313.jpg

IMG_1312.jpg

IMG_1309.jpg

IMG_1310.jpg

IMG_1311.jpg

Serikali iangalie kwa kina madhara yanayoweza kujitokeza kwa wananchi wanaovuka kutoka upande wa Tungi kwenda Yespa na Yespa kwenda Tungi, maana kuna wengine wanavuka ndani ya maji baada ya daraja kukatwa na wengine wengi wanavuka kwa kupanda juu ya tuta la mwendo kasi
 
Back
Top Bottom