Transfoma yasafirishwa kwa milioni 256!

Transfoma yasafirishwa kwa milioni 256!

Haki sawa

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
4,781
Reaction score
3,211
Ni kutoka Dar kwenda Misungwi, ni Transfoma ya tani 50 naibu waziri anasema ilikuwa halali , kweli ? Hivi kujitoa huko ilipotokea mpaka nchini iligharimiwa kiasi gani?
 
ufisadi_tu.jpg
 
Ni kutoka Dar kwenda Misungwi, ni Transfoma ya tani 50 naibu waziri anasema ilikuwa halali , kweli ? Hivi kujitoa huko ilipotokea mpaka nchini iligharimiwa kiasi gani?
Ina urefu wa Mita nne na upana wa mita tatu, inahitaji winghi spesho ya kuipakia, inahitaji kibali kutoka Tanroad kuomba ili ipite kwenye barabara, inahitaji magari maalum Lawbed ya kubebea. Afanalek!
 
Hata kama , ni kubwa kwa kiwango gani huwezi satirists kwa gharama zote hizo, gharama za kuitoa ilipotokea mpak
 
Rahisi mwizi, mawasiri wezi, wabonge wezi, madiwani wezi, wakurugenzi wezi, polisi wezi, mahakimu wezi, madaktari wezi, wafanyabiashara wezi, duh! Hali ngumu! Wananchi tumebaki na ugali na mchunga na matumaini ya uongo kwamba Mungu yupo na ipo siku!
 
Hapa kuna ufisadi mkubwa ulifanyika, haiwezekani transformer hiyo isafirishwe kwa kiasi hicho cha pesa. Je hiyo transformer ilinunuliwa wapi na kwa kiasi gani cha fedha? Je ilisafirishwa kwa kiasi gani cha fedha hadi kufika bandarini? Ni kampuni gani iliisafirisha hiyo transformer kwenda huko Misungwi? Hiyo kampuni iliyoisafirisha inamilikiwa na nani? Nani aliidhinisha malipo hayo? Je hayo malipo yaliingizwa kwenye akaunti inayomilikiwa na nani? Je kuna transfomer nyingine ya aina hiyo ilishawahi kununuliwa? Je usafirishaji wake toka Dar kwenda ilipopelekwa una ulinganifu na huu wa trasfomer ya Misungwi?

Raisi na mawaziri tuoneeni huruma wananchi masikini ambao kila siku tunateseka. Wabunge wetu wa CCM mbona mnatetea maovu yayongamiza kabisa ustawi wa nchi yetu? Nimekosa imani na wanasiasa, nimebakiza imani kwa Mungu pekee kwa kuwa naamini Mungu siku zote ni mwaminifu. Haya yote yana mwisho. Ni kitambo kidogo tu kimebakia, Mungu atamwinua mtu mmoja miongoni mwa Watanzania ca. 45,000,000 na nipo wale wote waliowatesa watanzania kwa hila na ubadhirifu wa mali za umma watalia na kusaga meno!
 
Ina urefu wa Mita nne na upana wa mita tatu, inahitaji winghi spesho ya kuipakia, inahitaji kibali kutoka Tanroad kuomba ili ipite kwenye barabara, inahitaji magari maalum Lawbed ya kubebea. Afanalek!

kwa hiyo unasema gharama hizo ni halali? isingewezekana kuisafirisha kwenye train?!
 
tani 50 256Million....hela ya zimbabwe sio Tsh... hahaha! em ngoja niendelee kutengeneza software yangu wasije niharibia mood...
 
Wizi umezidi kwasababu kila mwezi nasafirisha contena kipisi ni kati ya 5ml mpaka 7m hadi mwanza
 
tani 50 256Million....hela ya zimbabwe sio Tsh... hahaha! em ngoja niendelee kutengeneza software yangu wasije niharibia mood...

Tani moja ilisafirishwa kwa Tshs. 5,120,000/= sawa na Tshs 5,120/= kwa kilo moja!!.... CCM ni zaidi ya chama cha kisiasa!!
 
Naibu waziri mawematatu aliongeza kwa kusema
"alieomba tenda kwa Tsh milioni 10 alikua hajui anachoenda kukifanya wakaamua kumpa alieomba kwa Tsh milioni 256" hii ndo ccm!!!
 
MACCM the most corrupt political party in Africa.
 
Back
Top Bottom