Tatizo letu watanzania ni kuishia kulaumu na kusahau haraka machungu yetu bila ya kuchukua hatua!
Inashangaza kuona CCM inavyoweza tumia rushwa kuulinda mfumo wao wa rushwa! Vijana wananunuliwa kwa bei rahisi kabisa kukiunga mkono chama kinachowagandamiza! Ingekuwa nchi nyingine kashfa hii ingeitikisa nchi, lakini kwa aina ya vijana tulio nao CCM wataonekana mashujaa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.