Transfer ya chuo

Transfer ya chuo

mimi meelik

Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
14
Reaction score
0
Wadau nilikua nauliza kua kwa mwaka huu amna transfer ya chuo kmoja kwenda kingine au n vip?

Mana nimesuburi mpaka daaah shida aaan still nthng til nw.

So nilikua nauliza tu kuna mwenye info zozote tusaidiane.
 
wadau nilikua nauliza kua kwa mwaka huu amna transfer ya chuo kmoja kwenda kingine au n vip???? Mana nmesubr mpk daaah sheeda aaan stl nthng til nw..so nilikua nauliza tu kuna mweny info zozote tusaidiane...

yaani hata Mimi nimesubiri Sana lakini nilichofanya Ni kwamba nimekwenda Chuo ninachotaka kuhamia,Na uzuri Chuo hicho huwa wanawasiliana Na TCU Na kuwaomba kuwa Kuna wanafunzi kadhaa namba zao Fulani,wamechaguliwa Chuo Fulani,kozi Fulani,ufaulu Wao Fulani,Na wanataka kuhamia Chuo hiki chetu.kisha wanasubiri TCU wajibu
 
hata mimi nataka nifanye hvyo ila kuna baadhi ya wadau wananikatsha tamaa wanasema haiwezekani
 
mimi pia nataka nifanye transfer lkn naambiwa mpk nacte watoe ruhusa alafu chuo nilichochaguliwa kinaanza masomo jumatatu...na ninachotaka kwnd kinaanza trh 16 niko njiapanda nisije nikakosa registration hata kwny hicho nilichochaguliwa
 
tjitaid tuwafate
 
Kikubwa we nenda Tu Chuo unachotaka kuhamia,Na wanakupa barua ya nafasi unayotaka kuhamia,wakikupa barua Kama utaweza wapandie TCU kulekule Dar ukiwa Na hiyo barua ya Chuo.Si unajua tena Tanzania bila kukaziana sura huwezi kufanikiwa.
 
Badluck kwa mwaka huu...transfer ya hivi hairuhusiwi, walisema itakuwa online tu.
 
yaani hata Mimi nimesubiri Sana lakini nilichofanya Ni kwamba nimekwenda Chuo ninachotaka kuhamia,Na uzuri Chuo hicho huwa wanawasiliana Na TCU Na kuwaomba kuwa Kuna wanafunzi kadhaa namba zao Fulani,wamechaguliwa Chuo Fulani,kozi Fulani,ufaulu Wao Fulani,Na wanataka kuhamia Chuo hiki chetu.kisha wanasubiri TCU wajibu

kaka hicho chuo gan wenye utaratibu mzuri ivyo na mm nijaribu...tafadhali
 
Jamani mi nimeshfanya regstrn chuo nlichopangiwa je ctaruhusiwa kuhama tena? nisaidieni tafadhali.
 
TCU wameshato utaratibu wakufanya transfer kwa wale wa form six, na deadline ni tarehe 02-12-2015. tembelea tcu.go.tz kwa info zaidi.
Tatizo nnaloliona sasa ni kuwa CAS haifunguki!!!!
 
duh mwana mi npo bugando ila nlipenda dom.

Wangu Kamwe Usijekufanya Hcho Unachokitaka Manake Utakuja Ujutie Maisha Yako Yote Aise.Yan Utoke Bugando Mwanza Uhamie dom?!..Damn!, You Are Not Serious Aise!..Tena Thank God Umeenda Hapo Labda Kama Mkwanja Hom Unazngua.
 
TCU wameshato utaratibu wakufanya transfer kwa wale wa form six, na deadline ni tarehe 02-12-2015. tembelea tcu.go.tz kwa info zaidi.
Tatizo nnaloliona sasa ni kuwa CAS haifunguki!!!!

ndugu naomba nisaidie kwaiyo baada ya iyo tarehe mbili ndio wataanza kutoa majibu ya transfer
 
Kwa nilivyoelewa kutokana na tangazo lao TCU, tarehe hiyo ndio mwisho wa watu ku-apply transfer, ila sijui kama majibu yanatolewa baada ya tarehe hiyo!!!
 
Back
Top Bottom