Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Duh huyu jamaa kila nikimwona nabaki nacheka tu.
Wekeni na usajili wa ligi ya VPL
ManUtd imejibu mapigo ya Chelsea kwa kukamilisha usajili wa Luke Shaw kwa dau la £40m, kwa mkataba wa miaka 5 na mshahara wa £160,000 kwa wiki.