Transfer Window 2014/2015, Special thread

Transfer Window 2014/2015, Special thread

Kocha Carlo Ancelotti wa Real Madrid amekataa ofa ya kitita cha £14m ili kuifundisha ManUtd.
 
Liverpool wametangaza dau la £20m ili kumtwaa kiungo anayetisha EPL Adam Lallana (25) wa Southampton. ManUtd nao wanaandaa dau.
 
Bacary Sagna ataondoka Arsenal mwisho wa msimu baada ya kukataa ofa ya mkataba mpya wa miaka 3 wenye nyongeza ya mshahara.
 
Real Madrid wamepania kuibomoa Liverpool kwa kutenga kitita cha £60m ili kumng'oa Luis Suarez (27).
 
Mkongwe Zinedine Zidane amepewa ofa ya kuifundisha Bordeaux.
 
marc ter stegen aliekua anaidakia club ya Mönchengladbach ya ujerumani tayari ameshaaga kuondoka katika club hiyo ambako aliifanyia kazi kwa muda wa miaka 18 sasa msimu unaofata atatua rasmi camp nou na ndio atakua kipa namba 1
 
Beki mkongwe Rio Ferdinand (35) anaondoka ManUtd baada ya kukosa ofa ya mkataba mpya.
 
Arsenal wanamwinda Karim Benzema kwa dau £30m. Mkataba wake na Real Madrid unamalizika mwakani.
 
Golikipa wa Chelsea Petr Cech (31) anaangalia pakutokea baada ya kipa kinda anayetisha mbelgiji Thibaut Courtois (21) kuwa njiani kurudi Chelsea baada ya mafanikio makubwa akiwa na Atletico Madrid.
 
Bayern inamwinda David Luiz wa Chelsea, na iko tayari kumtoa mshambuliaji wao Mario
Mandzukic kubadilishana.
 
arsenal imekamilisha uhamisho wa DAVID BEKHAMP kwa dau la dola 40.
 
_74941216_010329683-1.jpg


Bolivian President Evo Morales signed by football club


A professional football club in Bolivia has signed President Evo Morales as a midfielder for next season. The 54-year-old, an avid football fan, will play next season for Sport Boys, a team based in the south-eastern province of Santa Cruz.

The first division club said the president would play for about 20 minutes per match but not in each game, owing to his busy schedule.
He will receive the minimum salary, about $214 (£127). "He loves football and plays well," said Sport Boys' president Mario Cronenbold. "He'll wear the No 10 shirt."

"We'll send him a list of matches and he'll chose which ones to play in," he said. A local politician with the governing MAS party (Movement towards Socialism), Edwin Tupa, said playing with a professional football club is a dream come true for President Morales. The president is said to be fit and very excited with the prospect of playing.

Mr Morales has played in several well-publicised matches with journalists, union leaders and other presidents. In 2007 he played a match at 6,000m (19,700 ft) above sea level in a protest against efforts to stop Bolivia playing its international fixtures at high altitude. And in 2006 he suffered a broken nose in a clash with a goalkeeper.
 
Kiungo Toni Kroos (24) wa Bayern na beki kinda Luke Shaw (18) wa Southampton ndio wachezaji wa kwanza kusainiwa na kocha mpya van Gaal wa ManUtd.
 
Kiungo Toni Kroos (24) wa Bayern na beki kinda Luke Shaw (18) wa Southampton ndio wachezaji wa kwanza kusainiwa na kocha mpya van Gaal wa ManUtd.

Wachezaji hawa wote nawaamini sana,nina imani watarudisha makali waliokuwa nayo manchester united.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom