Train ya TRL imekwama Kaliua

Train ya TRL imekwama Kaliua

Hii gari moshi wapewe jwtz ili wananchi wasihoji treni ya jeshi
 
Mambo ya "standadi geji" hayo. Tuvumiliane wadanganyika 😀
 
Nilipanda hiyo treni kutoka moro mpaka tabora, ni treni nzuti sana, sema trl wachafu sana, halafu bafet inaishiwa bia mapema sana
 
Treni ya TRL aina ya Deluxe imekwama hapa kaliua tokea saa 14:00 mchana mpaka muda huu. Halafu hakuna taarifa yeyote kuhusu kinachoendelea.

Lakini TRL hii 3,500/= mnayotoa ni posho ya chakula cha mchana, jioni, usiku au Kesho asubuhi?

Kila la heri kwa wote muichukiao CCM.
Asante sana tunaona mbali sana kuwachukia CCM ila wapuuzi hawaelewi
 
Treni ya TRL aina ya Deluxe imekwama hapa kaliua tokea saa 14:00 mchana mpaka muda huu. Halafu hakuna taarifa yeyote kuhusu kinachoendelea.

Lakini TRL hii 3,500/= mnayotoa ni posho ya chakula cha mchana, jioni, usiku au Kesho asubuhi?

Kila la heri kwa wote muichukiao CCM.
Mweusi tafadhali naomba kujua kama mlishaondoka hapo au mmeshafika dar.? Pls.
 
Back
Top Bottom