Train Ya Nachingwea 1949

kwa sababu wewe una nyumba bora basi unahisi kila mtu ana nyumba bora,walio wengi wanaishi kwenye nyumba za mbavu za mbwa.hakuna tunaloliweza.

ukinisoma vizuri utaona nimeandika kwamba "wengi wetu tunaishi......! nafikiri hiyo sentensi inajitosheleza!
 
ukinisoma vizuri utaona nimeandika kwamba "wengi wetu tunaishi......! nafikiri hiyo sentensi inajitosheleza!
ninachokataa ni hilo neno wengi nadhani neno linalofaa ni baadhi yetu sababu wengi wetu ni hohehahe
 
Hivi kuna jingine jipya limezinduliwa karibuni ukiacha hilo la wakoloni la miaka hiyo??

Msaada tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…