Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
biashara matangazo..hata wakivaa suruali watavaa tight
hakuna anayewasimamia wala hawafanyi gwaride asubuhihata ukisema mgauni ..nayo wanaweza wakayabana au kutafuta transparent.
mi ndomaana nawabandua sana hawa matrafiki
mi ndomaana nawabandua sana hawa matrafiki
Umesahau na manesi! halafu ndo ukute anakusafisha baada ya kutahiriwa ukubwani,unaweza ukaria maumivu utakayopata!
mi ndomaana nawabandua sana hawa matrafiki
Amini nakwambia ukiona matrafic na mapolisi wa Brazil utajikuta umegonga aisee,,, kwanza wamesheni halafu vinguo vya kubana balaa, halafu kifuani sasa,,,,,, sasa ukute polisi wa kike shepu zito halafu pembeni kaweka pistol balaa zaidi
Hii imemekua kama ni hali ya kawaida au labda ndio utaratubu sare za trafiki ..kina dada wengi matrafiki wanavaa skirt either kwa mbele ziefunika magoti lakini unakuta kwa uoande wa nyuma imenyanyuka na kuacha seheme kubwa ya nyuma wazi ..kupanda kutoka kwnye magoti .. na wengi wao huvaa fupi kabisa (KIMINI).. kama hutaki kuamini ..kama upo barabarani karibu na trafick jaribu kumuangalia tu utaona haya nnayoyasema .
jaribuni kubadilika na tambueni kuwa nyie wa kuigwa na jamii kwa kutenda yaliyo mema .. .
kila mtu ana uhuru wa kuvaa atakacho maadam havunji sheria - JK