Trafiki wa kike Arusha atuhumiwa kufuga misukule nyumbani kwake

jamani hivi kwa nini huyu Arusha Leo ni mwongo mwongo. Mimi simwaini hata kidogo. Unaharibu hadhi ya JF jamani badala ya kuwa ma great thinker anafanya JF iwe great gossipers. Naomba upigwe ban. Kwenye thread ya Moto kuunguza nyumba yenye maduka 8 arusha ulisema uwongo kuwa owner amelazwa hosp ya selian wakati hata pressure hakwenda kupima. Umenikasirisha sana kwa kuharibu hadhi ya JF
 
Akisimulia zaidi jinsi askari huyo alivyomchukua kimiujiza , alidai kuwa trafiki huyo alimtumia rafiki yake aliyemtaja kwa jina la Mama Vick ambaye ni mkazi wa kijenge,ambapo alimfuata na kumwomba amsindikize mjini lakini walipofika eneo Fulani alimwambia asimame na afumbe macho.

Loh na mimi nitakuja kwa Afande anifundishe kuruka kwa kufumba macho. Ntasevu nauli za basi nyingi tu.
 
jamani hivi kwa nini huyu Arusha Leo ni mwongo mwongo. Mimi simwaini hata kidogo. Unaharibu hadhi ya JF jamani badala ya kuwa ma great thinker anafanya JF iwe great gossipers. Naomba upigwe ban. Kwenye thread ya Moto kuunguza nyumba yenye maduka 8 arusha ulisema uwongo kuwa owner amelazwa hosp ya selian wakati hata pressure hakwenda kupima. Umenikasirisha sana kwa kuharibu hadhi ya JF

kweli kabisa...humu sio global publisher watu hatuangalii hata newz twategemea humu kwan moderator mtu kuwa banned hata wiki inakuwaje? :-(
 
hadi muda huu, hakuna source yoyote habari kuhusu jambo hili. So mleta thread yawezekana ana ugomvi binafsi na huyu traffic.
 
Kaaaazi kweli kweli. Hivi mpaka leo na sayansi yote hii bado kuna habari za misukule?
 
Huyu koplo ninamjua sana!

Huyu sister hapo barabarani haachi hata shilingi mia tano hata kama una makosa ya kumi kidogo we mshikishe tu buku 2 unakula corner.

Hapa A town ana miaka ya kobe Mi nikimjua!
Hakuna ajabu kwani hakika walimwengu tumebadilika!
 
Back
Top Bottom