Trafiki Polisi ARUSHA...Tunaomba msaada

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,721
515
Kuongoza magari Kona ya PPF na barabara mpya ya maji machafu na General Tyre. Kero ni kubwa mno.

Ushauri kwa uongozi wa Jiji Arusha kufikiria ujenzi barabara ya mzunguko au taa ili kuweka utaratibu mzuri kwa magari kupita.
 
Back
Top Bottom