Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,132
- 10,515
Trafiki alipolisimamisha gari, alimkuta dereva yupo sawa kila sekta: bima ilikuwa halali, mzigo ulikuwa na stakabadhi kamili, leseni ilikuwa bado hai, na matairi yalikuwa mazima bila tatizo. Baada ya kulikagua gari kwa kulizunguka mara mbili, ndipo akaibua kosa moja tu—ufa mdogo kwenye taa.
Alipomuuliza kwa nini asimpe dereva onyo tu badala ya kumuandikia kosa, trafiki alijibu kwamba angeweza kufanya hivyo, lakini hakuridhishwa na namna dereva alivyoongea. Alisema hakupenda kujiamini kwake kupita kiasi, kana kwamba alikuwa hana dosari kabisa.