strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,312
Daah hatari
hili nalo neno bora afanye hvyo kuliko kuuaHuo ni ukatili na ushetani kwa binadamu mwenzako anayetafuta maisha, mshauri kama yeye ni mlozi sana afanye hivi: Magari yake yote yawe hayawezi kuonekana kwene macho ya trafiki, as simple as that.
mmmhh kweli uchaga zamani!...Kumbe uchagani nako si kwa mchezo???
Ndugu siye tumekuli huko,ni kweli huyo mzee yupo,kuna afande mmoja alikuja mgeni wenzake wakamusa kuhusu huyo mzee Kilenga lakini akaw mkaidi,siku ya siku maeneo ya stendi kuu moshi mjini akalikamata Kilenga express na ndo ikwa mwisho wa ajira yake.Ilikua kila akitia mguu ofisini majipu makubwa yanamtokea mwili mzima na homa kali sana mpaka alipo kufa..Acha kuwajambisha askari kwa ushirikina. Wengine wanalindwa kwa damu ya Yesu
Yuko mzee mmoja wa kipare anaitwa "Kilenga" ni maarufu sana mkoani kilimanjaro, huyo mzee ana magari (Kilenga Luxury) yanayopiga ruti za Arusha, Moshi, Tanga. Ikitokea trafiki akakamata gari yake basi huo ndo mwisho wa uhai wa huyo trafiki.
Hilo gari lisachiwe, hwawezi kosa madudu humo..
Enzi zangu walikuwa hawaniwezi hao, tena sumbawanga..
Siku atakaporudi Yesu kama alivyosema, wengi wataumbuka! Askari wote hawana tofauti na Yuda Eskarioti!Acha kuwajambisha askari kwa ushirikina. Wengine wanalindwa kwa damu ya Yesu
Msiwatishe askari waadilifu hapaa!
Hilo gari lisachiwe, hwawezi kosa madudu humo..
Enzi zangu walikuwa hawaniwezi hao, tena sumbawanga..
sasa hapo kuna kesi tena ya trafiki?
Acha kuwajambisha askari kwa ushirikina. Wengine wanalindwa kwa damu ya Yesu
ukala rushwa hukushiba mwisho ukala na rambirambi...
Kama aliyekufa si MCHAGGA kuna uwezekano hata mmiliki wa hilo daladala sio MCHAGGA pia