Niko safarini natoka Mbeya kwenda Njombe kufika maeneo ya Chimala kuna kitu kimenishangaza kidogo sababu kwanza tumepigwa mkono halafu traffic police wakaingia ndani moja kwa moja hadi siti ya nyuma wakaanza seaching mtu waliompoint tu wakamkuta na mzigo .
Hivyo jamaa wameshusha hapa na mzigo wake daah.
Sasa kitu ambacho sijaelewa kuwa hawa jamaa kusema kwamba wako makini sana na kazi au wamechoreshwa mchongo maana hakuna mtu waliomgusa zaidi ya jamaa tuu moja kwa moja...!
Ila kama its true kuwa they did it by their own big up kwao saluuute
kakutwa na mzigo gani?
sawa kabisa MkuuLabda Nikusaidie Tu Ktk Kila Basi La Abiria Huwa Kuna " Nyoka wa Kiitelijensia Mmoja " Na Hao Maaskari Watakuwa Walipewa Tip Na Huyo Nyoka Mliyekuwa Nae Humo Basini. Na Ndiyo Maana Bajeti Ya Wizara Hiyo Ya Ulinzi Na Ile Nyingine Huwa HAZIJADILIWI SANA BUNGENI NA HAZIBISHIWI KTK KUPEWA FUNGU LAKE NA HATA MAFUNGU YAO PIA HUWA NI MAKUBWA na Moja Ya Kazi Yake Ni Kama Hiyo.
wa chuga plus sembe
sawaa ila wanajuaje kamanda au ndiyo mafuunzoo yao bhanaLabda Nikusaidie Tu Ktk Kila Basi La Abiria Huwa Kuna " Nyoka wa Kiitelijensia Mmoja " Na Hao Maaskari Watakuwa Walipewa Tip Na Huyo Nyoka Mliyekuwa Nae Humo Basini. Na Ndiyo Maana Bajeti Ya Wizara Hiyo Ya Ulinzi Na Ile Nyingine Huwa HAZIJADILIWI SANA BUNGENI NA HAZIBISHIWI KTK KUPEWA FUNGU LAKE NA HATA MAFUNGU YAO PIA HUWA NI MAKUBWA na Moja Ya Kazi Yake Ni Kama Hiyo.
Unaweza kukuta ni mtu wao kawaletea mzigo, raia wao wanaaona kakamatwa kishujaa. Akili za mbayuwayu ukichanganya na za kuambiwa unapata za nani??
kama unamzigo wa magendo kwanini utumie mabus?
sawaa ila wanajuaje kamanda au ndiyo mafuunzoo yao bhana
hahaha mbeya kwenda njombe bila shaka hiyo ni bangi tuuu.
mkuu hapo hakuna nini wala nini mm nineishi sana njombe na nimzaliwa wa hapo na ukinambia nikutajie wauza bangi woote wa kipindi mm naishi huku nitakutajia wale ambao maarufu wanafahamika mpaka polisi na walikuwa kila baada ya mwezi wanapeleka fungu kwa mkuubwa wa polisi ni.
mtoto wa saa sita muza nguruwe JACOB SASITA maarufu kama KACHA
kuna mtoto 1 mzee wake alikuwa mlokole sana anaitwa UBS alikuwa na mabasi zamani jina la mhusika.muuzaji limenitoka kidogo.
na mwingine jamaa 1 alikuwa mbavu sana anaitwa BAHATI nimpiga debe stend.
sasa ujinga wa hawa wauzaji mmoja wao akileta mzigo kabla hajaanza kuuza huandaa kabisa mazingira yakutokuwa na upinzani anachokifanya kama kaingia na mzigo anawachoma wenzake kwa polisi anakwenda anatoa fungu lefuu so polisi wanaawaandama jamaa kwa kuwakamata na kuwasweka.ndani so vijiwe vyao vinakuwa vimefungwa yy anapeta anapiga dili kama kawa.
au some times ndio kama hivyo ukisikia mwenzio kaaenda kuchukua mzigo unamfuatilia na kumchoma.
na some times unako nunua.mzigo ndio wanakuchoma wanachofanya wanakula na polisi wanakukamata wanakupukutisha then mzigo aliye kuuzia.unarudi tena kwakwe so polisi wanakula mara 2 kwa muuzaji na kwa aliyekamatwa na mzigo.
HILI JESHI LETU LA POLISI NI SHIDA SANA AISEEE