Trafic apambana na Dereva aliyekata kumfungulia mlango

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
Traffik.jpg
 
Hawa askari kiukweli ipo siku wataja juta. Nimeona ile video walivyokuwa wanapiga wale watu wa CUF kiukweli inauma sana
 
Si akanyage mafuta mengi na kuachia clutch ghafla then brake kali tu atamkuta kwenye lami anakusanya meno!!!!

Kuna kipindi wanamajaribu sana hawa watu, almanusra nimvunje mkono mmoja sababu yao ya kutaka kupora funguo za magari!!!
 
Sio mambo mazuri, ila yanawakuta mengi tu mbona
 
Si akanyage mafuta mengi na kuachia clutch ghafla then brake kali tu atamkuta kwenye lami anakusanya meno!!!!

Kati ya watu ambao huwa najifunza kitu kutokana na comments zake ni wewe Olesaidimu ila Leo umeni- disappoint sana. Unachochea vitendo vya kihuni? Mi nilitegemea vifuatavyo toka kwako baada ya kuona picha
1: usajili wa gari sio wa Tz, je ni wa wapi?
2: Sheria zao barabarani zinasemaje?
3: Kwanini Trafic kaamua kufanya vile?
4: kwanini Dereva hakutoa ushirikiano?
 
Kati ya watu ambao huwa najifunza kitu kutokana na comments zake ni wewe Olesaidimu ila Leo umeni- disappoint sana. Unachochea vitendo vya kihuni?
Duh wewe ndio iko mbali hasa na haya majukwaa
  • kwanza una-bore
  • hujui jokes za humu kuwa ni dawa kwetu, wasipochangia hao kina OLESAIDIMU nani atachangia?
  • na ww uweke picha zako tuzijadili Mods hawajakataza kuweka picha yeyote
  • anzisha na ww thread zako kwani kila member anajua si picha ya Tanzania na hilo basi hapo halitembei
  • usipende kuwalaumu wachangiaji wenzako wa majukwaa km haya ya Jokes, Jamii photo, nk picha hii ingekuwepo Jukwaa la siasa, International au mchanganyiko ndio tungewalaumu waliozileta
acha watu watanue mbavu zetu hatuwezi ingia facebook
 
Kati ya watu ambao huwa najifunza kitu kutokana na comments zake ni wewe Olesaidimu ila Leo umeni- disappoint sana. Unachochea vitendo vya kihuni? Mi nilitegemea vifuatavyo toka kwako baada ya kuona picha
1: usajili wa gari sio wa Tz, je ni wa wapi?
2: Sheria zao barabarani zinasemaje?
3: Kwanini Trafic kaamua kufanya vile?
4: kwanini Dereva hakutoa ushirikiano?

Mkuu hii ni Vietnam huko.. Kuna waliopinda kupita maelezo huko.. Hiyo miji ilioandikwa kwenye kioo cha gari ni ile miji ambayo ilikuwa na waasi enzi ya vita na Marekani..
 
Kati ya watu ambao huwa najifunza kitu kutokana na comments zake ni wewe Olesaidimu ila Leo umeni- disappoint sana. Unachochea vitendo vya kihuni? Mi nilitegemea vifuatavyo toka kwako baada ya kuona picha
1: usajili wa gari sio wa Tz, je ni wa wapi?
2: Sheria zao barabarani zinasemaje?
3: Kwanini Trafic kaamua kufanya vile?
4: kwanini Dereva hakutoa ushirikiano?

Dont take JF too serious......
 
Hah hah hiyo sio Tanzania mkuu!
Lakin wengi akili hawana utamkuta anasimama katikati ya barabara na ww uko kibati, ndio maana last month kuna m1 alikanyaga na DCM sijui ilikua Mbagala ile na mwingine aligongwa pale Makumbusho.
 
Pole sana kwa hilo ila dunia ina smooth na coarse ends!!
Registered vehicle inahamishika??!!
Majina, adress na owner vipo mamlaka husika kwanini apande gari kama hivyo(if at all) ni kisa cha kweli???!!
Kuna watu hawajifunzi mpaka wakutane na coarse side of the story so sometimes it is a way to teach the concerned, witnesses na watakaosimuliwa!!!
Kama wewe ni mtu wa magari utakuwa unaelewa ila kama mfunga tai hawa watu huwezi jua side B yao, mi nimefanya yote nawajua hawa inside out wako wastaarabu na wako wapenda rushwa kupindukia!!!
 
Hah hah hiyo sio Tanzania mkuu!
Lakin wengi akili hawana utamkuta anasimama katikati ya barabara na ww uko kibati, ndio maana last month kuna m1 alikanyaga na DCM sijui ilikua Mbagala ile na mwingine aligongwa pale Makumbusho.
Acha tu kaka kuna siku natoka Ilala juu naenda Kariakoo taa za Makamba pale mi nasoma taa kumbe kuna mkono bhna Defender brake zake na michanga barabarani kuja kutazama huyu hapa badala ya kupisha akakomaa aseee yaani bull bar na yeye kama futi mbili hivi baada ya kusota sana, gari imesimama mi natetemeka ya kakata kauli hata kusogea hawezi kaja mwingine kamtoa pale mi nikapaki pale pale wakashauriana wakaja ndio anauliza "mbona unataka kuniua kaka, nikajibu samahani sana kaka nilijua ni taa zinaongoza". . . . . tukapeana namba za simu sijui hata urafiki wetu uliishia wapi. . . . .
 
Si akanyage mafuta mengi na kuachia clutch ghafla then brake kali tu atamkuta kwenye lami anakusanya meno!!!!

Kuna kipindi wanamajaribu sana hawa watu, almanusra nimvunje mkono mmoja sababu yao ya kutaka kupora funguo za magari!!!

haa haa haa ila huyu dereva anaonekana hana hasira za karibu l
 
Duh wewe ndio iko mbali hasa na haya majukwaa
  • kwanza una-bore
  • hujui jokes za humu kuwa ni dawa kwetu, wasipochangia hao kina OLESAIDIMU nani atachangia?
  • na ww uweke picha zako tuzijadili Mods hawajakataza kuweka picha yeyote
  • anzisha na ww thread zako kwani kila member anajua si picha ya Tanzania na hilo basi hapo halitembei
  • usipende kuwalaumu wachangiaji wenzako wa majukwaa km haya ya Jokes, Jamii photo, nk picha hii ingekuwepo Jukwaa la siasa, International au mchanganyiko ndio tungewalaumu waliozileta
acha watu watanue mbavu zetu hatuwezi ingia facebook

Punguza uchachu Ukwaju. . . . . .halafu we jamaa jina la babu yangu we unaweka usernane JF
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom