OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
haa haa haa ila huyu dereva anaonekana hana hasira za karibu l
Ha ha haaaa hasira bhana inatokana na siku tu saa nyingine barabarani kunakuwa na kisirani tu, siku natoka Dar naenda Makambako Nyololo pale huwa wanakaa ndani ya private car na tochi we ukitungua tu anatoka huyu hapa, sasa 6D17 mpaka uikate kauli aaanh ye kashabaki nyuma kaja huko dogo mbona una dharau sana wewe, nikamwambia kwanza mi sio dogo kwako akanitazama vizuri akasema mbona mwili wako mkavu kama mtoto nikamwambia shida na njaa kaka akacheka, akauliza wasomali unawapeleka wapi nikacheka sana nikamwambia hamna wasomali humo kuna viuatilifu. . . . .Tukamaliza ukaguzi na (mengineyo) huyo gia mbele!!!
So saa nyingine unakutana na watu mpaka unafurahi na kuna kipindi unakuta naye kwake kuko mbogo aaanh hapo lami itajua haapa panatifuka