Traffic mto Nduruma - Arusha

Traffic mto Nduruma - Arusha

Joined
Jul 30, 2013
Posts
8
Reaction score
2
Wamejikusanya kundi kubwa la trafić police pale mto nduruma na kushurutisha watu kulipa faini na ukiwauliza risiti wanakuambia uifuate kituoni kwao.

Sasa kama hawana risiti kwa nini wawatoze watu faini? Ni kwamba wanakomba hela za watu wazi wazi, imekuwa ni mradi wao wa kujiingizia fedha isivyo halali.
 
Kuna wengine wanabanaga hapo nje ya kituo cha polisi chekereni mi nadhani wakiona hali mbaya wanatoka tu na kuanza kukamata magari ukipita hauwakuti dakika tatu baadaye hao hapo. wanakusumbua wewe na kukupa notification bila risiti halafu wanakuambia nenda kachukulie risiti USA River, na ukifika huko unasumbuliwa tuu mpaka unakata tamaa
 
Back
Top Bottom