Traffic jam in India

Traffic jam in India

attachment.php


Nimeangalia kwa umakini naona kama miti imelizunguka hili eneo, kitendo kinachonifanya nishindwe kujua hiyo barabara iko wapi na hayo magari yatapitia wapi? Kama vile yame park!


Kama vile bandari kavu.
 
Yaani asikuambie mtu mpaka uone mwenyewe....Nilishangazwa kuona watu (wahindi) wanavyo nyanyaswa na wahindi wenzao kisa eti ni mafukara. Mwenye uwezo akipita ati analazimisha kuabudiwa na usipomuabudu anaweza kukupiga au hata kukuua and nothing will be done. Hapa Bongo kuna watanzania walioolewa na wahindi koko wanajilazimisha kuongea kihindi majumbani mwao wakati waume zao huko India hawathaminiwi.

amaa_Mbishi;
Nadhani umewahi ingia ndani ya duka lao, ati anakuuliza; Veve nini taka!! Si kwamba hakijui kiswahili. Ni dharau tu kwani hata Mswahili alisema; Maskini akipata matako hulia mbwataa. Aende kwao ndo atajua lipi jema. Tangu niwafaham, hawanibabaishi tena
 
Kama ndio hivyo basi mimi siwezi kwenda india hata kama wanasema wako vizuri sana kwenye maswala ya matibabu unaweza ukafia kwenye foleni halafu ikawa ni gharama nyingine tena.
 
amaa_Mbishi;
Nadhani umewahi ingia ndani ya duka lao, ati anakuuliza; Veve nini taka!! Si kwamba hakijui kiswahili. Ni dharau tu kwani hata Mswahili alisema; Maskini akipata matako hulia mbwataa. Aende kwao ndo atajua lipi jema. Tangu niwafaham, hawanibabaishi tena


Mkuu, nimeona na kushuhudia hizi dharau zao. Yote tisa ila jamani wahindi wana dhiki kishenzi, na wale walio hapa Bongo kule kwao India hawana thamani because waindi ndiyo jamii pekee inayoishi kwa caste system hapa duniani na ndiyo maana wanadharauliana sana. Kwa muda wa miaka miwili ya kusoma India kwa kweli nimeona mengi ya kustahajabisha, halafu hapa Bongo mswahili anatoka na muhindi koko anajilazimisha kuongea kihindi. Kwa kweli ni kichefu chefu.
 
Back
Top Bottom